Chama cha Demokrasia na Maendeleo Makao Makuu!

Kwani kuna MTU anaitwa Chadema????? Mi namzungumzia kiongozi wenu mfalme Mboe kubwa jinga
We kenge,chadema cyo ccm hakina hela ofisi inatosha kwa uwezo wake,wewe na wenzio mnatuibia kodi zote tangu Uhuru na kupora mali serikali mkahodi,yaani wewe nahisi mtoto wa mama,chadema ni chama tajiri kuliko ccm,chadema cyo wezi
 
Chama kipi Hakijakupotezea muda,au dingi yako balozi wa ccm,ndo unaona unafaidi michango ya msiba
Mi nazungumzia utashi wa viongozi wako...sasa kama hata kuthamini ofisi kuu wameshindwa wataweza kufanya lipi unadhani...hilo ni group LA wasanii na sio wakombozi
 
We kenge,chadema cyo ccm hakina hela ofisi inatosha kwa uwezo wake,wewe na wenzio mnatuibia kodi zote tangu Uhuru na kupora mali serikali mkahodi,yaani wewe nahisi mtoto wa mama,chadema ni chama tajiri kuliko ccm,chadema cyo wezi
ndio Mimi ni mtoto wa mama kweli....wewe baba ako ali undergone procedures zipi mpaka akakuzaa....tumia akili we panya road Chadema washakusanya shillingi ngapi kuanzia ruzuku mpka michango isiyo rasmi ..kwa mfano juzi tu walikusanya zaidi ya million 500 wanashindwa nini kutafuta ofisi wanaenda kununua banda LA kuku
 
Mwanzo ata TANU ilikuwa hivyo,
 

Attachments

  • TANU.jpg
    TANU.jpg
    19.8 KB · Views: 49
Chama cha mfalme Mbowe akizungukwa na mambumbu kama Lema na Nassary ....ndio matunda yake
 
Kweli mkuu,eti wanakebehi wakati wao wamepora Mali za selikali,viwanja vya mpira na Mali kibao
Vutu vyote walivyonavyo ilikuwa mali ya serikali maana chama ilikuwa serikali na finance zote zilikuwa zinatoka serikalini. Baada ya vyama vingi ilibidi virudi serikalini! Waanze kama vyama vingine. CDM ni mwamba imejitahidi mpaka hapo, ila waongeze juhudi kutafuta pesa ya kujenga makao yenye hadhi zaidi ya jengo hilo.
 
Mboe kazi kufungua madanguro, club za starehe anasahau chama...haifai kua ofisi hiyo ni wizi uliokithiri....mbona wananunua majumba kila kukicha wanasahau ofisi...
kweli kabisa, ukilinganisha na majunmba wanayomiliki wao, pesa za chama wanazojilipa ..... yaani dah
 
Back
Top Bottom