Chama cha Demokrasia na Maendeleo Makao Makuu!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Makao Makuu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
1.jpg



makao%2Bmakuu.jpg
 
Hata ccm ilikuwa ivyo ,chadema cyo wezi,ccm wanaiba kodi zetu wanajenga ofic zao,chedema hawana pa kuiba,mtoa mada funga domo lako
 
Kwani CCM wana ofisi? Yale ni majengo ya serikali kuna siku, mwaka, miaka yatarudi. The history is there!
Kweli mkuu,eti wanakebehi wakati wao wamepora Mali za selikali,viwanja vya mpira na Mali kibao
 
Chama kuwa stable si majengo, ni mikutano ya hadhara. Ruhusuni mikutano tu.
 
CCM ilipora mali za umma...majengo, viwanja na businesses.

Kwa sasa tunasema Wameikota maofosi, maviwanja yasiyo na mwenyewe.
 
Hata ccm ilikuwa ivyo ,chadema cyo wezi,ccm wanaiba kodi zetu wanajenga ofic zao,chedema hawana pa kuiba,mtoa mada funga domo lako
Mboe kazi kufungua madanguro, club za starehe anasahau chama...haifai kua ofisi hiyo ni wizi uliokithiri....mbona wananunua majumba kila kukicha wanasahau ofisi...
 
Mboe kazi kufungua madanguro, club za starehe anasahau chama...haifai kua ofisi hiyo ni wizi uliokithiri....mbona wananunua majumba kila kukicha wanasahau ofisi...
Mtuhumiwa ni mbowe au chadema chajakwelewa hoja yako ni ipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom