Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Kuna mambo mengine kamwe hautayaelewa kwasababu tu ww si CDM bali uko na wanandoa,sasa ya jirani yanakuhusu nini ama ndo umbea wenu wa saluni?CDM is for Chademas and the like
 
Bora ungelikaa kimya kuliko kuudhihirisha umaandazi wako hapa..,najua ulicomment labda kwa bahati mbaya..,ebu pitia post yako kisha ifanyie usahihi wako kabla wengine hawajaiona kama nilivyokuwa tumeshaiona baadhi..,unafikiri kwa kutumia nini mkuu..???
 
Mkuu, kwa mfano serikali ikilipa deni la Dowans, au kuingia mikataba mibovu ya kifisadi, CCM hawawezi kubeba lawama?
 
Nilijua tu utajizungusha lakini destination yako itakuwa nini, kifupi ushoga si sera ya Chadema ni sera ya CCM kawaulize kina Nepi wanaoshikishana ukuta au mwakilishi wake wa JF ritz ameshajibiwa.
 
kutoa matamko si jambo rahisi kihivyo,nchi hii ina mambo mengi ya hovyo na ya msingi si jambo jepesi kukutana na kutoa matamko kwa kila issue inayojitokeza mara nyingine akiongea M/kiti au katibu yatosha kama ndiyo msimamo wa chama
 
wewe ni shoga,uongo?km unabisha mbona masaburi yako yanakuwasha?
 
Nilijua tu utajizungusha lakini destination yako itakuwa nini, kifupi ushoga si sera ya Chadema ni sera ya CCM kawaulize kina Nepi wanaoshikishana ukuta au mwakilishi wake wa JF ritz ameshajibiwa.

Kuna mtu kazungumzia la Mh Lema hapa, sijui hapo napo utapredict kuwa nilikuwa na elekea wapi? Lakini umeproove kupoteza team work yenu maana yake umenijibu la ushoga, sasa niambie wewe ni nani cdm na umejibu kama wewe au cdm, ndio maana tunaona tuwakumbushe mnaanza kuendesha mambo kihonyohonyo, na chama chote kinachojinadi kuwa makini hakiweze kuendesha mambo hivyo, badilikine bwana mnatuangusha.
 
Mkuu au umesahau ulitaka kuandika BAKWATA?maana hao ndio wazee wa matamko,kwa kifupi ni hivi CDM hawakurupuki kama upande wa pili,na wewe pia acha kukurupuka.
 
Hebu leo na wewe toa msimamo wako na tamko lako usitake kila siku usemewe tu.
 
Tukipinge chadema kwa nguvu zote. Watahalalisha ushoga ili kuwaridhisha wafadhili wao.
 
Kiongozi gani wa chadema atasimama hadharani na kupinga ushoga wakati wanafadhiliwa na mashoga!.
 
Kiongozi gani wa chadema atasimama hadharani na kupinga ushoga wakati wanafadhiliwa na mashoga!.

baada ya kupost upupu naona umefurahi sana

hebu post upupu mwingine tena mkuu
 
Kiongozi gani wa chadema atasimama hadharani na kupinga ushoga wakati wanafadhiliwa na mashoga!.

Wapinge wakati mwaka 2005 na 2010 waliwapa Magari, Pikipiki, Baiskeli, na paunds za kutosha..

Wapinge waone kama mwaka 2015 watapata kitu tena
 
Yaani unataka Chadema waache mambo ya msingi waitishe kamati kuu kujadili ushoga? you can't be serious.
 
Wanahangaika na wafadhili wao, mashoga ili kuhalalisha ushoga bongo?.
 
Yaani unataka Chadema waache mambo ya msingi waitishe kamati kuu kujadili ushoga? you can't be serious.

hawezi kuzungumzia ushoga wakati wanadhaminiwa na mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…