Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Mkuu Ritz, heshima kwako!!!
CHADEMA hakina ulazima wa kujibu hoja za Cameron. Wenye ulazima huo ni chama tawala (CCM) ambao wameendekeza kuifanya budget ya TZ kuwa tegemezi kwa miaka 50 sasa. Cha kushangaza ni kwamba nchi ina rasilimali za kutosha kabisa kutosheleza mahitaji yake yote ila kwa umbumbumbu wa MAGAMBA, wameamua kuwapa wawekezaji uchwara maliasili za nchi bure kabisa....and then hao hao tuliwapa mali zetu bure kupitia mikataba hovyo kabisa leo hii wametudharau kiasi kwamba eti wanatupa sharti la kukubali ushoga ndio watupe misaada yao.

Serikali ya MAGAMBA imetufikisha pabaya sana.
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
 
Tuachane na hoja zisizo na msingi. Ushoga Uingereza unaungwa mkono na vyama vyote - Conservative, Labour na Liberal. In fact mpaka mwaka 1966 sheria za Uingereza zilikuwa kama za Tanzania sasa juu ya swala la ushoga. Mwaka huo Serikali ya Uingereza wakati huo ikiongozwa na Labour Party - Bwana Harold Wilson [marafiki zao wakubwa wa CCM] walipitisha sheria ya kuhalalisha ushoga - sex between persons of the same gender. Mwaka wa 1998 au 1999 Serikali ya Uingereza ikiongozwa na Labour Party chini ya Bwana Tony Blair ilipitisha sheria ya kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Ni kweli kuwa Conservative Party as a party did not oppose the two bills in 1966 and 1998 but it allowed its members to vote freely without following the Party whip - lakini the fact hapa ni kuwa the whole move was led by Chama cha huko UK ambacho ni marafiki wakuu wa CCM - the Labour Party. Pia ANC ya South Africa [marafiki wakuu wa CCM] ina support fully ushoga na ndoa za JINSIA MOJA.

MEMBE WAS BEING CHEAP [and playing cheap CCM politics] WHEN HE LINKED THE STATEMENTS BY Cameroon to the Conservative Party rather than to the British Government in the hope that this will damage the CHADEMA party in Tanzania! In fact Vyama vyote vya Siasa ambavyo ni marafiki wa CCM in Northern Europe na Ujerumani vinaunga mkono Ushoga na ndoa za jinsia moja.

Nafikiri sisi kama Watanzania tupinge statement na siasa za Uingereza juu ya swala hili kama Watanzania na kufuatana na mila zetu [ambazo hazina Chama] rather than playing cheap politics za kujaribu ku-score cheap points against opposing political parties [ whether CHADEMA au CCM au CUF]. Kama msaada wa UK utapunguzwa basi hii ita-affect watanzania wote and it is important we take a unified approach as a nation rather than playing partisan politics. Here is where for example we could take punitive measures against UK registered companies such as Barrick African Gold- bymaking them pay fully the taxes they owe us.
 
Hili la urafiki na chama chenye kutetea ushoga bado linahitaji ufafanuzi..

Ni vizuri nchi ikatoa msimamo na vyama vyenye maslahi (stakeholders) watoe msimamo

Nini msimamo wa kambi ya upinzani bungeni maana wa serikali tunaufahamu???
 
Waziri Mkuu wa Uingereza wakati anatoa kauli hii, alikuwa anaongea akiwa ni kiongozi mkuu wa Uingereza; hivyo kauli yake ilikuwa inaiwakirisha Uingereza, wala si chama chake cha Conservative. Wanachama wa Jumuia ya madola ni Nchi (Serikali), si Vyama. Conservative kama chama hakijatoa hiyo kauli, bali imetolewa na serikali ya Uingereza; ndiyo maana hata Balozi anayeiwakilisha Uingereza hapa Tanzania,ameendelea kuitilia mkazo kauli ya nchi yake. Chadema kama chama hawana sababu ya kutoa msimamo wao kwa kauli ya serikali ya Uingereza; Chadema wangetoa msimamo wao kama kauli hiyo ingetolewa na chama cha Conservative chenyewe!! Hivyo kuwataka Chadema watowe msimamo wao ni kuwaonea.
 
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..

Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..

Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa

Uingereza ina Katiba? uliishawahi iona?
 
Vipi mnaogopa kutoa msimamo? (au hakuna msimamo?

Kambi ya upinzani Tanzania ina msimamo gani?
 
quote_icon.png
By ritz

Wakati mnagombania suti mlikuwa mnafikiri zinatoka wapi ngoja wawahemee kichogoni na bado masharti magumu yanakuja ukitaka kwenda kutembeza bakuli sharti uvae kanzu bila bukta ndani.
 
Hili la ushoga ni cheap political agenda furthered by ****** like membe. Kwanza kajichangaja eti halikuwa limezungumzwa ktk minisiterial levels mara kulikuwa na juhudi za Cameroon kulipenyeza, what's the fuss?

Take it or leave it, PERIOD.

Sawa hapa nyumbani hii ni desturi mpya na of coz mbaya, nakubali. Lakini ukitembea nchi za wenzetu huo kwao ndo utamaduni wao, so what? Twende kwenye hoja za msingi sio cheap and baseless grandios......things like:
- Kwa nini Tz ni maskini licha ya rasimali zote tulizonazo
- Kwa nini Utawala bora ni hadithi tuu, ndio chanzo cha ufisadi, uzembe na kukithiri kwa rushwa
- Iko wapi Katiba Mpya ambayo inatokana na wananchi na yenye kumilikiwa nao?
- Kwa nini vilaza kama Membe, Ngeleja nk ni mawaziri mpaka leo?
- Kwa nini hakuna la maana la kuijuvnia ktk miaka 50 ya uhuru?
nk, nk

Mods: plz do justice by purge this thread.

Nimekukubali sana nafkri aliyeomba kujibiwa kajibiwa bial kuzunguka, wao walioendekeza misaada ndio wajibu
 
Wakati mnagombania suti mlikuwa mnafikiri zinatoka wapi ngoja wawahemee kichogoni na bado masharti magumu yanakuja ukitaka kwenda kutembeza bakuli sharti uvae kanzu bila bukta ndani.

Nini Msimamo wa "Kambi ya Upinzani Bungeni"

Tanzania ni yetu sote..ndio kusema mnaounga mkono useng...
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

What are you missing in this story ni kuwa Tories ni chama tawala na ndiyo wanatoa misaada kwa serikali ya Tanzania. Kama CDM wanasaidiwa na Tory kwa sharti la kufuata sera zao ambazo kwa kawaida mwenye uwezo wa kutekeleza sera ni aliye madarakani basi watakuwa na haja ya kutoa tamko. Mi nafikiri linpokuja suala la foreign relation msemaji mkuu ni wizara ya mambo ya nje ambayo Membe kishatoa msimamo wa Tanzania.

Ila kama unaniambia kuwa Membe alikuwa anatoa msimamo wa CCM badala ya wa serikali ya Tanzania basi Tuitake serikali ya Tanzania ifanye hivyo, maana ndiyo yenye dhamana ya kuwasemea watanzania kimataifa. Otherwise sioni point kwenye post yako zaidi ya mchezo wa kombolela.
 
Nasisitiza ya kuwa ushoga ni jambo lisilokubalika kwa tamaduni na mila zetu watanzania sas wewe uliepost thread hii ukiwataka chadema watoe msimamo wa kichama unategemea watasema ushoga ni halali? Kwa mila ipi,kwa desturi ipi na kwa maadili yapi ambayo unaona chadema watatoa msimamo tofauti na tamaduni zetu watanzania hata waafrika kwa ujumla?
Nashauri kwa watu wenye akili kama zako wewe ulieanzisha post hii muwe mnakaa na kutafakari kabla hamjapost vitu hivi,sio tu mkishapokea posho kutoka kwa vibaraka wenu-CCM mnawahi jamnvini kupost madudu kuwaridhisha mafisadi wenu.
Chadema for your information ni chama makini sana,na kinachoyasimamia ni mambo ya kitaifa yenye maslahi kwa taifa zima,yenye maslahi kwa mwananchi mmoja mmoja,je ushoga ni suala la maslahi kwa taifa hili in relation to our culture?
Hata hivyo inatupasa tujiulize Tanzania kama taifa huru kwa miaka hamsini sasa,kilichotupelekea kupewa masharti yenye kudhalilisha utu wetu kwa mujibu wa tamaduni zetu,mila zetu,na hata kwa wanaoamini dini ya kikristo na Islam,ni kitu gani kimetufikisha huko?nani katupeleka huko,nini kimesababisha?jibu la wazi kabisani CCM.sababu sisi tusingeweza kuwa tegemezi kiasi hicho kwa rasilimali zetu tulizo nazo,watanzania kama nchi tuna kila kitu.leo ni masikini wa kutupwa kiasi watu wamechoka kutusaidia na hasa baada ya kuhakiki ujinga wetu na mfano mzuri ni sakata la Rada na mengine mengi waliyo yagundua na mwisho wanatuwekea masharti ambayo ni ya kutudhalilisha,masharti ambayo huenda walidhani kwa yatasaidia kutokuombwa ombwa kujazia budget ya sreikali.
Haya ni matokeo ya ufisadi,wizi,kubaka haki za raia,kubaka utawala bora na tamaa iliyojaa uchoyo na ulafi wa kujilimbikizia mali na madaraka kulikoletwa na CCM.
Si suala la Chadema kulitolea msimamo,Conservative waje kama chama ukitaka kusikia sauti ya Chadema,na si suala la kutuongopea eti walitiliana saini ya makubaliano ya ushoga na chadema,hatuna viongozi wa aina hiyo,ccm wapo kibao ukitaka siku tukuwekee list na utumbo wao wa kimaamuzi na utendaji ndani ya chama.Chama chenye unafiki unaonuka zaidi ya public toilet-stand ya bus
 
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..

Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..

Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa

Mkuu, rejea maoni yangu usiwe mgumu kuelewa. Cameroun hakuongea kwa niaba ya chama, bali aliongea kama PM wa serikali. Uingereza kama nchi ndiyo inayotoa misaada kwa nchi kama zetu na siyo chama. Chama kinachoongoza serikali kama vile CCM ilivyo kwa Z'bar sera zake ndizo zinatekelezwa na serikali ya Mapinduzi Z'bar. Kwa hiyo hata CUF akijifanya mpinzani kwa vile alishaingia kwenye ndoa na CCM, watendaji waliokwishapata madaraka serikalini tena kwa kiapo mbele ya Rais wa serikali hiyo watatekeleza tu sera zake. Katika hali hii CUF aliyekuwa chama pinzani kwa Z'bar hawezi kuukosoa uongozi ambao yeye mwenyewe ni mdau. Tunapozungumzia misaada toka Uingereza, hatuangalii sera za chama bali nchi. Kama chama cha Labor kinapingana na sera hizo 'so what' iwapo misaada hiyo ni sehemu ya kodi zao. Zingatia pia kwamba uridhaji wa mikataba kama hii inayodaiwa kuwa ni haki za binadamu, siyo kwa vyama vya siasa bali ni NCHI na UINGEREZA ni miongoni mwa nchi hizo.

Wapo watu wa aina yako pia ambao hushindwa kutambua ni wakati gani wa masuala ya chama yanakuwa 'applied' na wakati gani ni ya serikali. Kushindwa kutambua hilo ndiyo maana hata katika bunge letu, baadhi ya wabunge hawaendi mjengoni na dhana ya kuwawakilisha wananchi bali wanaenda na 'emblem' za vyama vyao.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

mod please sometym u have to delete this kind of Shit... Hajui kuwa ule ni msimamo uliotolewa na Serikal ya Uingereza Na siyo Chama kwenda kwa Nchi husika na siyo Vyama.... Usi2letee Ukilaza wako hapa pambaf, unashindwa kuchanganua vi2 vidogo kama... Implementatn yake inabid ifanyike ina Country level na hapo ndipo serikal za nch usika inabid zitoe tamko, au tamko la nchi ya Ghana lilitolewa na kiongoz wa Upinzan... Usiwe mvivu wa kufikir ***** wewe..... 2mia akil ukiwa unajenga hoga acha ku2mia masabur punguan mkubwa wewe....
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

mod please sometym u have to delete this kind of Shit... Hajui kuwa ule ni msimamo uliotolewa na Serikal ya Uingereza Na siyo Chama kwenda kwa Nchi husika na siyo Vyama.... Usi2letee Ukilaza wako hapa pambaf, unashindwa kuchanganua vi2 vidogo kama... Implementatn yake inabid ifanyike ina Country level na hapo ndipo serikal za nch usika inabid zitoe tamko, au tamko la nchi ya Ghana lilitolewa na kiongoz wa Upinzan... Usiwe mvivu wa kufikir ***** wewe..... Na misaada inayozungumziwa hapa ni ya kiserikal kwenda kwa nch usika... Sasa hapa Cdm anahusika vp? 2mia akil ukiwa unajenga hoga acha ku2mia masabur punguan mkubwa wewe....
 
Vipi mnaogopa kutoa msimamo? (au hakuna msimamo?

Kambi ya upinzani Tanzania ina msimamo gani?

hapo ndo mnapo onekana mazuzu... Mwenzio kajibu hoja kwa mtiririko yakinifu... Wewe unakuja ooo kambi ya upinzan...! Nape fanya udahil upya wa vijana wako, wanatia aibu humu ndan...
 
Waziri Mkuu wa Uingereza wakati anatoa kauli hii, alikuwa anaongea akiwa ni kiongozi mkuu wa Uingereza; hivyo kauli yake ilikuwa inaiwakirisha Uingereza, wala si chama chake cha Conservative. Wanachama wa Jumuia ya madola ni Nchi (Serikali), si Vyama. Conservative kama chama hakijatoa hiyo kauli, bali imetolewa na serikali ya Uingereza; ndiyo maana hata Balozi anayeiwakilisha Uingereza hapa Tanzania,ameendelea kuitilia mkazo kauli ya nchi yake. Chadema kama chama hawana sababu ya kutoa msimamo wao kwa kauli ya serikali ya Uingereza; Chadema wangetoa msimamo wao kama kauli hiyo ingetolewa na chama cha Conservative chenyewe!! Hivyo kuwataka Chadema watowe msimamo wao ni kuwaonea.
Unajua kwa watu wenye siasa za ushabiki kama kina ritz wepesi sana kusahau akisema Kikwete anakuwa anawasemea watanzania waliomchagua kwa kura nyingi akisema Cameron anakisemea chama cheap politics kwa kweli.
 
hapo ndo mnapo onekana mazuzu... Mwenzio kajibu hoja kwa mtiririko yakinifu... Wewe unakuja ooo kambi ya upinzan...! Nape fanya udahil upya wa vijana wako, wanatia aibu humu ndan...

Kwa hiyo wataka kusema kwamba chadema hawana msimamo kwenye hili jambo kama chama kikuu cha upinzani Tanzania?

Acheni hizo hapa kuna haja ya kuwa wamoja na kuongeza sauti ya wapingaji vinginevyo tunaweza ku-conclude kwamba chadema wanakubaliana na ushoga uchafu..
 
Uingereza ina Katiba? uliishawahi iona?
Hii ni nini au unaropoka tu
[h=1]Constitution of the United Kingdom[/h] From Wikipedia, the free encyclopedia
"British Constitution" redirects here. For the card game, see British Constitution (solitaire).
[TABLE="class: vcard vertical-navbox"]
[TR]
[TD="class: adr"]United Kingdom[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
This article is part of the series:
Politics and government of
the United Kingdom

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]
Government[show]​

Parliament[show]​

Judiciary[show]​

UK countries[show]​

Elections[show]​

Foreign policy[show]​

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Other countries · Atlas
Politics portal
view · talk · edit
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: metadata mbox-small plainlinks"]
[TR]
[TD="class: mbox-image"]
38px-Wikisource-logo.svg.png
[/TD]
[TD="class: mbox-text"]Wikisource has original text related to this article: Constitution of the United Kingdom
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
The constitution of the United Kingdom is the set of laws and principles under which the United Kingdom is governed.[SUP][1][/SUP]
Unlike many other nations, the UK has no single core constitutional document. In this sense, it is said not to have a written constitution but an uncodified one,[SUP][2][/SUP] much of the British constitution is embodied in written documents, within statutes, court judgments, and treaties. The constitution has other unwritten sources, including parliamentary constitutional conventions and royal prerogatives.
Since the English Civil War, the bedrock of the British constitution has traditionally been the doctrine of parliamentary sovereignty, according to which the statutes passed by Parliament are the UK's supreme and final source of law.[SUP][3][/SUP] It follows that Parliament can change the constitution simply by passing new Acts of Parliament. There is some debate about whether this principle remains entirely valid today,[SUP][4][/SUP] in part due to the UK's European Union membership.[SUP][5][/SUP]
[h=2][/h]
 
Back
Top Bottom