Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Iwapo mashoga watatambuliwa kisheria wakati wewe siyo siyo shoga na hulazimishwi kuwa shoga; je utapungukiwa na nini? Mambo ya mtu binafsi kutumia mwili wake apendavyo siyo mambo ya kitaifa; hiyo inatakiwa iwe ni ruksa mara moja katika jamii tuliyo nayo leo. Ukizuia mashoga utakuwa unaweka mianya ya kuanza kuingia maisha ya watu binafsi ikiwamo hata kuwapangia wawe wanapandana na wenzi wao wa ndoa mara ngapi kwa wiki. Kama serikali haimpi mtu chakula na wala haimlipii kodi yake ya nyumba, ni lazima imwachie mtu huyo kutumia mwili wake katika kujipatia rizki yake. Ni kweli kuna mambo mengine hayana radha nzuri katika utamaduni wetu wa zamani, lakini kulingana na mfumo wa maisha tuliyo nao leo, mambo hayo bado hayavunji sheria kuu ya nchi.
 

Wewe ni bora ujitoe humu, na kama hujitoi kabla ya kufikiria kuweka thread yeyo pata hata ushauri kwa BIBI yako ili usiweke madudu kiasi hiki.
 
Kabla ya kutapika haya mawashiwashi yako ni vema kwanza ujiulize 'Is CDM subject to international law??

Nadhani wangekanusha wenyewe, au wewe ndiye msemaji wa CDM? mbona tuhuma zingine ni wepesi sana kutoa matamko
 
Hii habari uliyoiandika hapa itakulaani. Chukulia mfano mdogo tu! Mwanao mpendwa wa kiume, alikuwa mzima tu, ila baada ya haya mambo kuwekwa wazi na kuruhusiwa kisheria naye akawa influenced. Ghafla kaja nyumbani na mwanaume mwenzie na anakutambulisha kuwa yule ni mumewe wanataka baraka zako wafunge ndoa! Hapo Je? Utapungukiwa nn?
 
Tabia ya kupenda kutafuta wa kumlaumu ndiyo msingi wa anguko letu siku zijazo na mbaya zaidi ni pale tabia hii inapochanganyikana na ile ya kuelewa tutakavyo badala ya vile inavyohitajika na kujigeuza masakabona kwa kujipigia makofi kwa mawzo yetu 'mazuri'.
Angalia thread yako then rejea alichoongea Mwita25, usipoelewa maana elewa kuwa you dont have any problem, but you are the problem.
 
Hoja hii nzito..inahitaji maelezo ya kina....na si kukulupuka tu?...wahusika jipangeni..kisha mje kutujibu...ili tuwe na hoja ..tukiulizwa huko kwenye mijadala mingine....tujue cha kujibu...nategemea kupata jibu
Hoja ipi hiyo ndugu? kazi yenu nyie ni ilieile, hamna jipya, mmekamua waislam na kuchonganisha udini kule Igunga pamoja na yote hata kuomba radhi mmeshindwa sasa mnakuja na ushoga, issue ambayo CDM haitapoteza muda kuijibu, kama wewe ni shoga endelea tu na mambo yako, ati kumkataa Mwingereza na ushoga siyo maan kwamba TZ hakuna mashoga, msipotoshe jamii kuleta mijadala isiyo na msingi, tatua matatizo yenu ya fitna kwanza mmevamia topic hii kupoteza malengo, semeni sasa huko ndani ya chama chenu mtoe tamko, kwa sababu balozi wa Uingereza yupo na Nchi imemkubali CDM itasema nini sasa, basi Membe angetamka basi tumfukuze huyu Balozi TZ na Uingereza ni marafiki tena Nchi kwa Nchi, wewe leo unatwambia chama? Mmeishiwa ninyi bora tu mkae kimya! Mnapotosha jamii iache kufikiria mambo ya muhimu kujadili issue ambazo hazi-count kiuchumi, ushoga upo TZ, kama wewe ni mmoja wao basi ach, wewe na ndugu zako washauri waache! siyo unataka Mwingereza akulazimishe! think and concentrate on issues people! CDM haitajibu upuuzi wako huu!
 
Reactions: LAT
Saa nyingine huwa siamini kama kweli hapa ni "HOME OF GREAT THINKERS" Jamani tuwe serious kwenye mambo yanayotukabiri kama taifa. Mara ngapi mashoga tunawaona kwenye baadhi ya makongamano hapa mjini? Au leo ndo tumejua kua UK wanautambua ushoga. Misaada ya serikal ya cameron inahusiana nn na cdm? Ama kweli ukistaajabu ya musa,utayaona ya firauni. Tchaos.
 
Tatizo ni kwamba jf ni jukwaa huru na hivyo hata aliyetoroka MIREMBE jana nae ruhsa kupost!
 
Kwa hiyo unataka kusema Maswala ya USHOGA tuwaachie Conservative na CHADEMA au kwa maana nyingine unataka kusema hayawahusu watanzania wengine? Chadema ni chama sawa lakini endapo wataunda serikkali si ni wazi wataikubali hii sheria? hapa unatunganya wewe. Nashauri CHADEMA wenyewe watoe tamko si kuwasemea
 

Umeeleza vyema mkuu. Mwenye akili na afahamu, propaganda za kijinga hazitusaidii. Hawa wana ccm wana matatizo, chama chao kimepoteza dira. Kitang'oka madarakani tu, watanzania hatudanganyiki.
 
@MADAYA kuna mambo ya msingi unatakiwa ujue kuhusu siasa na hasa foreign policy. Political parties come and go. Cameroon kaongea aliyongea katika 'context' ya haki za binadamu kwamba matonya wote wanaopitisha bakuli kwa walipa kodi wa Uingereza wanatakiwa kuanzia sasa waheshimu haki za binadamu ikiwepo kutawabagua mashoga. Hii ni part of thier foreign policy na haina uhusiano moja kwa moja na David Cameron au chama chake cha conservative. Ingetokea kwa mfano kesho Labour party wakarudi madarakani upo uwezekano mkubwa ukasikia wanarudia hizi haki za binadamu na utoaji wa misaada.

Kwa mfano, wakati Bush (Jr) akiwa madarakani alijenga uhusiano mzuri sana na Tanzania na hata akatembelea Tanzania. Pia alitoa hela nyingi kwa Tanzania kupitia Milenium Challenge Account. Bush alikuwa Republican, amekuja Obama (Democrat) hakuna kilichobadilika infact misaada imezidi kuongezeka na rais wetu kama tulivyokuwa bombarded na wapiga debe wake alikuwa ndiye rais wa kwanza toka Afrika kuonana na Obama! Na Obama kaendelea na ahadi za Bush ikiwemo ile ya kutupa vyandarua vya mbu! Na wanafanya hivyo kwa sababu wana maslahi na Tanzania kwa sasa = foreign policy.

Sasa UK wamesema haki za binadamu itakuwepo kwenye foreign policy zao. Hata hivyo unatakiwa ukumbeke, the reason you and the rest of us are having this discussion ni kwa sababu Tanzania imefanya 'ombaomba' kwama sehemu ya foreign policy yake. Wakubwa kila siku wanabuni sehemu ya kupiga hodi, mara kwa Ghadafi mara OIC. Hawaoni aibu au soni kuwa omba omba wakati nchi ina kila kitu. Nashukuru Uiengereza sasa itatufanya tujadili kwa nini baada ya miaka 50 ya uhuru bado tunashindwa hata kununua vyandarua vya mbu?




 

utambue kuwa Constitution ya Uingereza ni unwritten constitution, Tanzania katiba yetu ni written Constitution, urafiki uliopo kati ya Chama na Chama na serikali na serikali ni tofauti, kwanza utambue kuwa Conservative haiendeshi serikali peke yake iko katika muunganiko na Liberal democrats ambao kwa asilimia kubwa wanapressure mambo ya haki za mashoga hata katika katiba ya chama chao wana advocate mambo ya ushoga, conservative au wahafidhina kwa kiswahili ni watu wanaopenda mambo ya traditions ziendelee tofauti na liberal democrats, in that case sirkali ya uingereza iliyopo sasa hvi ni changia pote ya vyama viwili na cyo concervative pekee hivyo kuilaumu conservative unatukosea sana haki tunaoijua siasa ya magharibi
 
Kumbe siyo USHOGA tu unaolalamikiwa kutokana na CHADEMA kuwa na mahusiano na Conservative bali hata udini wanaolalamikiwa CHADEMA kuwa nao wameutoa huko huko kwa DAVID CAMERON. Jamaa huyu anatuhumiwa siasa za ukabila na udini huko kwake.

Hebu somahii hapa chini:






Jim Murphy: David Cameron treats Scotland like Slovenia
The most high-profile Scot in Labour’s ranks has launched another extraordinary attack on David Cameron by suggesting the Prime Minister treats his trips to Scotland like state visits to a Balkan country.

Jim Murphy claims the Prime Minister behaves like a 'foreign dignitary' on his visits to Scotland
By Simon Johnson, Scottish Political Editor
11:55AM BST 23 Sep 2011
Jim Murphy, the Shadow Defence Secretary, said Mr Cameron behaves in Scotland as if he is a “foreign dignitary” visiting Slovenia rather than Prime Minister of the United Kingdom.
An angry Mr Murphy said that to preserve the United Kingdom Mr Cameron must do more to “engage” people than stand in front of the Union flag and the Saltire.
The former Scottish Secretary suggested he would like to be Prime Minister himself but his Catholic faith would be too much of a “barrier”.
His latest intervention increased the cracks that have appeared in the pro-Britain campaign being planned for Alex Salmond’s independence referendum. Earlier this week Mr Murphy said he would refuse to share a platform with the Prime Minister.
The row raises further concerns that senior figures from the Conservatives, Labour and the Liberal Democrats will not put aside their political differences to unite in the face of the separatist threat.


Iain Gray, Labour’s Holyrood leader, yesterday defended Mr Murphy’s decision to distance himself from Mr Cameron and said his party would make its own “distinct arguments” during the campaign.
Mr Murphy was questioned about the Prime Minister’s attitude to Scotland during an interview with the Spectator magazine.
“He’s got to engage a bit more in Scotland. He’s got to travel a few hundred miles north as well. He’s the Prime Minister of the United Kingdom and he shouldn’t behave like a foreign visiting dignitary when he goes to Scotland, which is what the temptation is,” he said.
“He comes up and he stands in front of a British flag and a Scottish flag as if he is visiting Slovenia. Scotland is not bloody Slovenia.”
Mr Murphy said a Scot could be Prime Minister but asked: “Can you be a Catholic and prime minister?”
But David Mundell, a Tory Scotland Office Minister, said Mr Murphy’s remarks were “disappointing” and “ridiculous” as the Prime Minister respects Scotland.
“Anybody would accept he has had a pretty hectic first year or so in office but he came to Scotland within days of becoming Prime Minister and has had more dialogue with Alex Salmond than previous Governments,” he said.
Mr Cameron made a flying visit to the Scottish Conservative spring conference In Perth this year in the middle of the Libya crisis. He successfully led international calls for the UN to intervene to prevent the Gaddafi regime slaughtering its citizens.
Earlier this month he stayed with the Queen at her Balmoral estate in Aberdeenshire. But Mr Gray defended Mr Murphy, adding: “Jim was saying that Labour will make our own distinct arguments why Scotland’s future is better without separation.”
A spokesman for the First Minister said: “The Unionist parties are fighting each other like ferrets in a sack – no wonder support for independence is moving ahead in the polls.
“The Scottish government have no desire to intrude into the private grief of these London parties, who are losing the place and fast losing the constitutional debate in Scotland.”
 
Thank God this shows how Chadema makes you (CCM) sleepless.
 
Nauliza swali eti ule undugu wa CHADEMA NA CHAMA CHA CONSERVATIVE kinachohimiza tuoane bado upo?na je chadema wanapataje misaada toka chama hichi kama masharti ndo hayo?
Undugu wa TZ na Uingereza upo siku nyingi sana,CDM imekuja juzi tu! kwa hiyo kama wewe ni shoga basi amua kama unaacha au unaendelea, siyo waTZ kama nchi, ni wewe binafsi!
 
Thank God this shows how Chadema makes you (CCM) sleepless.

Wewe nimekuzoea, najua tatizo hapo lugha, hata hujasoma unasaburilise. Wenzako wanasoma ili wajifunze kitu, mwambie Sugu akufafanulie kama anaweza manake najua yeye mzee wa ya ya, u u, hapo hapo, pale pale . full kufyatuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…