Acha Uvivu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 524
- 131
Kama umesikiliza habari ya ITV utajua kwamba hawa jamaa kila kitu wamecopy. Mwenyekiti wake mwenyewe anaongea kama Lipumba. Sijui chama gani hiki kisicho na uniqueness.
Wachokozi kweli hawa! Mbona rangi zipo nyingi tu....hakuna sababu ya 'kugezana'.
Ni mbinu za CCM kutaka baadae kufoji ili kwenye mikutano ya ADC watakapokuwa wanapata watu kiduchu wao wapate nafasi ya kuwadanganya watu kwamba CDM kimekosa mvuto na kutoa picha za mikutano ya ADC wakionyesha na bendera zinazofanana na CDM kwenye magazeti yao Uchwara yaJamba leo, Habari leo, Uharo, Mzalenda, Dailypuuzi n.k.
Vp wana JForum
Kufuatia kupewa usajili kwa chama kingine cha siasa Tanzania,Je utitiri
huu wa vyama vya siasa Tanzania ndio demokrasia kukua na
kupanuka?
Vp wana JForum
Kufuatia kupewa usajili kwa chama kingine cha siasa Tanzania,Je utitiri huu wa vyama vya siasa Tanzania ndio demokrasia kukua na kupanuka?
Hii ni ishara ya watu kuwa na njaa kali kwa wao kuanzisha chama ni kujitengenezea ajira hivyo kufuata ruzuku na sio kuwatetea wananchi!