Chama cha siasa na Dini kwa kawaida huwa na wafuasi wengi.
Kwa hapa Nchini kuna chama na Dini safi na vyama na Dini Pumbavu.
Chama na Dini safi hubeba huwafungua macho wafuasi wao, huwaongoza kwenda kwenye mafanikio, huwapigania dhidi ya dhuluma, lakini vyama na Dini Pumbavu huungana na wadhalimu kuwapumbaza zaidi Watanzania na kuwapeleka shimoni ili wao ili hao vingozi Pumbavu waendelee kuneemeka mema ya Nchi.
Mimi nimekataa upumbavu. Siangalii rangi ya chama, naangalia sera zake tu. Vile vile kwa upande wa Dini, nikienda Kanisani Padre akihubiri mambo yanayowahusu Watanzania kwa ujumla, siku hiyo nitatoa sadaka kubwa zaidi, lakini akihubiri mambo Mitume tu bila kugusia changamoto za Watanzania, siku hiyo naweza nisitoe hata sadaka.