Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 1,153
- 1,731
ndio,UTT wana matawi mikoani?
Mhmmmmm nazipenda figo zangu ujueπππNilijua unawachanganya watesi , piga vituπππ
utapewa mwili mpya wa kwetuπ€£Mhmmmmm nazipenda figo zangu ujueπππ
Natumia pombe kidogo sana ,wa kwetu , tena mara moja moja sana πutapewa mwili mpya wa kwetuπ€£
Nenda UTT,wewe si upo hapo kariakoo unamuda wa kwenda kwa michepuko unakosaje muda wa kwenda posta.Jazba ya Nini mkuu?
Kwanini usiJibu nilichokuuliza?
Sawa, ππusije kurosti maini bureNatumia pombe kidogo sana ,wa kwetu , tena mara moja moja sana π
Kabisa wa kwetu, upo moshi bado?Sawa, ππusije kurosti maini bure
NdioKabisa wa kwetu, upo moshi bado?
Unapenda moshi na weweπNdio
ππMtu kwao , waswahili husema hvyoUnapenda moshi na weweπ
Nyie mkatongozane huko DM humu tunataka madini ya PESA.Unapenda moshi na weweπ
Wewe mfate mwenzako DM mkapige soga zenu huko, huu uzi kuna watu wanasoma comment after comment msiwachoshe na mitongozo yenu.ππMtu kwao , waswahili husema hvyo
Usijali mkuu ,tuna changamsha tu uzi πNyie mkatongozane huko DM humu tunataka madini ya PESA.
Wewe hulalagi upo active sanaπππUsijali mkuu ,tuna changamsha tu uzi π
una hasira sana sijui shida ni nini?Wewe mfate mwenzako DM mkapige soga zenu huko, huu uzi kuna watu wanasoma comment after comment msiwachoshe na mitongozo yenu.
Dah!PESA ipo hapa mkuu imezaliwa mikononi mwetu ,tushaitega zamaniiNyie mkatongozane huko DM humu tunataka madini ya PESA.
Pesa haitaki mtu anayechekacheka hovyo utavuna mabua.una hasira sana sijui shida ni nini?
Jf ndio jamii ninayo weza piga nayo stories kwa ukaribu zaidi bwasheeWewe hulalagi upo active sanaπππ