Umeweka hela zote!!! utakuja kulia kilio cha mbuzi...kama UTT ikidondoka..utashtaki wapi? Tufikirie nje ya boxWadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!
The best decision ni kununua bond na return unaiweka UTT.UTT inapendwa kwa sababu inafanya Compounding interest,kitu ambacho hakifanyiki kwenye bond za serikali..wao watakupa gawio ambalo ni constant miaka yote 25..
Usidangaywe kuwa kilimo cha miti ni chepesi. Tunapigika sana huku kwenye mipine na milingoti.Bora nilime miti
Nmewekeza kote mkuu.. hivyo najua ninacho kuambia..The best decision ni kununua bond na return unaiweka UTT.
Pamoja na compunding,annual +capital gain viko chini ya return ya bonds.
Try the math mkuu wangu
I am speaking from personal experience as well.Nmewekeza kote mkuu.. hivyo najua ninacho kuambia..
Haa! kwa hio min -me anatambulika ni cha wari, Dah!😂naonaga humu jf wewe unatambulika kama cha pombe.
Kwa nchi yetu ilivyo UTT ikidondoka ujue na BOT nayo chali na hapo kila mtu atasaga meno hakuna wa kupona.Umeweka hela zote!!! utakuja kulia kilio cha mbuzi...kama UTT ikidondoka..utashtaki wapi? Tufikirie nje ya box
UTT pako friendly huko BOT sisi walalahoi tunafikaje, na unatakiwa uwe na kianzio kama bei gani???Nmewekeza kote mkuu.. hivyo najua ninacho kuambia..
sana kwa kumiliki mchongo wa kukuwezesha kujaza laki laki UTTWadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!
Bata nakula,kuwekeza nawekeza,na hata nisipofika huo umri hizo pesa nimeandikisha warithi ni wanangu na ndugu zangu.Ishi sasa boss kuna yule tajiri kwenye bible aliyesema nishajaza maghala yangu sasa acha nianze kula bata usiku malaika mtoa roho katumwa kuchukua roho yake
Yote kwa yote kuwekeza ni muhimu lakini punguza kujipiga kifua the future is full of unexpected things
Mwanangu fanya kweli uweke pesa huko hutajutia kuna watu wamepiga michongo yao pesa wameweka UTT wanabadili magari kila mwaka kwa kutumia return za UTT.Hongera
sana kwa kumiliki mchongo wa kukuwezesha kujaza laki laki UTT
Jazba ya Nini mkuu?Hivi humu kweli kun magreat thinker au huwa mnajikweza tu.
My friend wewe endelea na mambo yako ya michepuko huku utakuwa umepotea.
Nilijua unawachanganya watesi , piga vitu😂😂😂Hahahahah kweli akunywa ila sio kivile mda mwingine ni changamsha genge tu wakwetu
The best decision ni kununua bond na return unaiweka UTT.
Pamoja na compunding,annual +capital gain viko chini ya return ya bonds.
Try the math mkuu wangu