Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,115
- 3,812
- Thread starter
-
- #41
30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗Nililimamiti 30 yrs ago na sasa nikitakakuuza ni 8,000/=. Naamini ni upuuzi mtupu kuinvest katika kilimo cha miti
Tuseme ukweli, mambo ya Bond au UTT tumeyajua tulipostaafu! Kama tungejua zamani naamini tusingejenga nyumba hizi zinazotugharimu sasa hivi30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗
Tuseme uliwekeza 15,000,000/ tu huko shambani kwako kwa hesabu za UTT calculator kwa lowest intrest rate ya 12% ungekuwa umezalisha 434,398,831.81 ukijumlisha na hiyo million 15 unapata 449,398,831.81 hii hela unaipata wewe bila kufanya chochote ndani ya hiyo miaka 30.
#Tukutana 2040 panapo majaliwa tutakuwa tunashift fights tu leo Amstardam kesho Paris keshokutwa Cape town mtondogoo Dubai.Ni humu tu🤫🤫🤫
Silipwi chochote na sihitaji kulipwa ninasaidia wanaotaka kuelekezwa na kuelewa jinsi ya kuwekeza.Njia ya mafanikio ni siri,
huyu ni winger asiyelipwa 😳
Mkuu pole sana ila hujachelewa.Tuseme ukweli, mambo ya Bond au UTT tumeyajua tulipostaafu! Kama tungejua zamani naamini tusingejenga nyumba hizi zinazotugharimu sasa hivi
Too late ndugu yanguMkuu pole sana ila hujachelewa.
Wengine tumeona faida zake ikiwepo SECURITY ya uhakika wa pesa za mteja hivyo nimeamua kujitolea sadaka yangu kuwasanua Vijana wenzangu.
Uamuzi mzuri kabisa. Hongera.Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!
Hata hicho kidogo utachoambulia say umewekeza in 7-10 yrs kama utajaaliwa kuwa hai napo hapo angalau utafaidi kitu.Too late ndugu yangu
Sawa mkuu🤝 ila kwa haraka haraka UTT na hizo government bonds ambao wote wanawekeza kwenye hati fungani za mpaka miaka 35 kama sijakosea wako sawa tu.Uamuzi mzuri kabisa. Hongera.
Diversfication ni muhimu sana. Chungulia na G'vt Bonds
Hamna mwanaume hapa.Huu uzi ni wa wapambanaji na tena wanaume.
Ukiona mkusanyiko wa watu usivamie hovyo subiri ualikwe.
Lakini pia tunakushukuru kwa mchango wako👋
Ukifka hata 10 nichape ukiwa haiWadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!
Watu wa aina yako huwa najibishana nao mara moja kifuatacho ni kubonyeza kitufe cha IGNORE ukaungane na wenzako huko nje👋Hamna mwanaume hapa.
Sawa mkuu🤝 ila kwa haraka haraka UTT na hizo government bonds ambao wote wanawekeza kwenye hati fungani za mpaka miaka 35 kama sijakosea wako sawa tu.
mbona kama mtu wa SALES? min -meFaida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.
Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.
Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.
Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.
FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.
#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.
Maisha ni sasa , yani unapoishi leo ndio maisha hayo , kula bata kila unapojisikia kuishi ni sasa.