Challenge ya kusave pesa UTT

Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
 
Hongera sana
 
Mimi nimetoa pesa UTT nimewekeza kwenye Crypto tukutane 2035.
 
Mjukuu wangu, mimi umri wangu ni miaka 75, je, unanishauri nikiwekeza vipesa vyangu huko UTaTa /UTiTiii kwa miaka 15?
 
sio matapeli hawa lkn kam wale kalynda 😀
maan natak kuwekez na mie
 
Uzuri UTT-Amis Siyo taasisi ya kidini, Wala haifungamani na dini yoyote ile.
 
Umefanya uamuzi wa busara Mzee wangu.
 
Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Hongera sana Mwamba. Huo ni mshahara wa afisa wa serikali kabisa.

Kufanya saving ni kama kumeza dawa. Inahitaji discipline ya hali ya juu. Nikiona mtu ana 100m kwenye UTT au bank, najua amepambana vilivyo.
 
Which coin?
Mkuu yote tunayafanya kujihami. Kuitafuta nafuu ya kesho ambayo hata hatujui kama tutakuwepo!
So wewe mwache apambane. akifanikiwa, heri, yakienda vinginevyo atakung'uta kanzu na kusonga mbele. Ndo maisha ya uwekezaji. Nothing is certain. Ila lazima uhangaike.
 
Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Uli save liquid bond(ukwasi fund) sio boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…