Challenge ya kusave pesa UTT

Asante nimeelewa
 
Biashara sio makali ndio maana ninyi mnaziogopa na sisi tunazikimbilia.

Mzee hizo ni fixed accounts tu majina ndo yamerofautiana kibiashara ila zote ni kundi moko.
Nyingi ni hazina makayo ya mwezi, unatoa pesa kwa interval fulani, pesa inaongezeka asimilia kadhaa baada ya muda fulani nk.
 
Ndio maana kuna post nimeandika kila uwekezaji una RISK ZAKE!!!

Hujalazimishwa kujiunga UTT wewe nenda kawekeze unapoona panakufaa sisi wengine hatupendi kubeti/kurisk high so UTT ni nzuri zaidi na zaidi.
Punguza makasiriko
Na mutual fund sio UTT tu.
Bongo ina Mutuala fund 6
Za serikali 2 na private 4

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Riba ni dhambi imekatazwa katika vitabu vyote vya dini. Usichukue wala usile riba. Tafuta biashara fanya upate faida, acha shortcut ya kupata fedha bila kufanya kazi hiyo ni dhambi. Pesa haizai pesa, lakini kazi au biashara inazaa pesa.
Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia sahihi
 
Hizi mambo kamuambie mama yako si Kila mtu anaamini dini yako
 
Umefanya kazi,umepata pesa then unawekeza,baki hivyo,wawekezaji tunapeta.
 
Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
 
Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…