Challenge ya 2011; matches na results

Leo Tanganyika nina hakika tutacheza kama Barca!
Nasikia Yanga wanataka kumsajili Messi!
 
Dakika ya 26 Kilimanjaro stars 0 na Somalia (Ocean Star) 0 lakini nasikia Kilimanjaro Star wana shambulia kweli lakin wameshindwa kudumbukiza mpira nyavuni...
 
kama tukifungwa na leo sasa basi, hakutakuwa na matumaini yoyote yale zaidi ya kusindikiza tu kama kawaida yetu
 
Goooooooooooooooooooooooo Kilimanjaro Stars wanapata Goli la kuongoza limefungwa na Joseph Shindika kwa njia ya penalt ni dakika ya 44
 
sasa vijana wakomae ili goli lisirudi, maana wana tabia ya kuanza kukalinda hako kamoja then wanajikuta nakenyewe wamekakosa.
 
Game ni half time Kilimanjaro Stars 1 - Somalia 0

haya wakuu muendelee kutupa updates, sisi wengine tunasumbulliwa na ugonjwa wa uzalendo maana chetu ni chetu na hatuna uwezo wa kukibadilisha zaidi ya kukiboresha.
 
Dakika ni ya 10 kipindi cha pili vijana wanashambulia sana ila umaliziaji bado ni issue goli moja sio bao la kutosha maana hawa Somalia sio wabovu wanaweza rudisha anytime and we kiss it goodbyee
 
duh, yani tunangoja hadi wasomali ndio tunabahatisha... kha!!!
 
Goooooooooooooooooooooooo Kilimanjaro Stars wanapata Goli la kuongoza limefungwa na Joseph Shindika kwa njia ya penalt ni dakika ya 44

Dalili njema? Maana mara ya mwisho Stars ya Maximo ililala kwa Somalia!
 
Back
Top Bottom