Alie umia ni Jabir Aziz ila naona kashaingia uwanjanitumekosa goli la wazi kupitia kwa salum machaku na inaonekana kaumizwa
dakika ya thamanini mambo mazuri kwa watanzania bara kwa hili wala hatukuitini watanganyika la furaha hili
bado dakika 5...Mungu ibariki Tanganyika
teh teh....Daah hapa mwenzio nimeminya.....hadi mwisho!