Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,238
22,667
Wakuu,

Hapa tufanye challenge kidogo, ambaye comment yake haitokuwa na reply kwa siku nzima atapata vocha ya 10k. Sitanii

Twende kazi
nb. mpaka sasa sijaona reply empty bila kupata reply ya nyenzake..
Kumbuka reply iliyomaliza 24 hours bila reply nyenzake basi ndio bingwa wetu..
💪💪💪💪
 
Atakayenipigia maombi nikiitwa tu kwenye interview namtumia 50K sitanii.

Deadline ni 15th so baada ya hapo pengine wiki mbili mbele ndiyo wataanza toa majina. Usije pm niquote tu hapa hapa sema nakuombea. Nikiitwa interview mwenyewe nitakufuata PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom