Unasema:Narudia tena Chuoni hamna kozi ngumu kama ulichagua mwenyewe kwa mapenzi yako, labda kama ulichaguliwa na mtu au ulichagua kwa mihemko.✍️
Ushonaji Cherehani VETA katoka na GPA ya 4.0Kozi ipi!!??
2011 hiyo nilikua sekondari namaliza form four, 😉3.7, hii mpaka leo inaniuma maana kwa college yetu walikuwa na uhitaji mkubwa wa tutors ila ndo hivyo nikachemka!
B.com, udsm mwaka 2011!
Kweli wewe Kimeo alafu unakuja kujinadi ilhali ni kilaza mrembo.Mlimani
Kama hauna D mbili huwezi kuelewa mlimani ni chuo gani hapa bongoKweli wewe Kimeo alafu unakuja kujinadi ilhali ni kilaza mrembo.
Unaongea kwa kubonga eti nimemaliza Mlimani, wakati kwenye orodha ya TCU hiko chuo cha Mlimani wala hakipo.
😆😆😆😆😆😆😆GPA ni nini wakuu? Napenda pia kuchangia hii mada
Mwaka gani mkuu?3.8 SUA with a clean sheet means no supplementary
0.02Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Kunja miguu halafu legeza tumbo kabisa kabisa2011 hiyo nilikua sekondari namaliza form four, 😉
HongeraNilidisco mwaka wa pili
ShapoaHongera
uliyokuaUlipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Hongera sana mkuu kuna vyuo na baadhi ya Course ukipata GPA kuanzia 3.4 kuelekea juu wewe ni Kichwa kweli kweliGPA ya 3.8 UDSM 1986 Chemical and Process engineering!
Nimemkumbuka Mwalimu Wangu Kamuzola
Kwenye mtihani Wa MWISHO wa Open book alinikuta na kitabu ambacho katoa mtihani humo humo ilimuuma sana ikabidi aniambie kwa kihaya wengine wasielewe kwamba
IWE KIJANA MPA AKATABO AKO , maana alinijua sana, hapo alina Rweikiza mbunge Wakisoma sheria tunawaita NGUIN
Nadhani hapo akina Pascal Mayalla walikuwa wako Kanda ya Ziwa huko Baba yao akiwa kitengo 😎
Britanicca
Tumesoma shule wakati ikiwa shule not extended high schoolsHongera sana mkuu kuna vyuo na baadhi ya Course ukipata GPA kuanzia 3.4 kuelekea juu wewe ni Kichwa kweli kweli
Heshima kwako mkuuTumesoma shule wakati ikiwa shule not extended high schools
Britanicca