Challenge: Is Mbowe another future Rostam Aziz or Edward Lowassa?

Challenge: Is Mbowe another future Rostam Aziz or Edward Lowassa?

Jmushi, inakuwaje record nzuri kam anavyoripoti "Waberoya" Gazeti la Mtanzania, Rai wasiandike kuhusiana na bosi wao!!! ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza!!!
Nimejaribu kumwomba kama kuna uwezekano wa kutuwekea uthibitisho wa aina flani wa hizo record nzuri za RA,kama si za kweli basi ina maana mleta hoja yuko bias na huku akitaka kutuaminisha kuwa yuko just fair and balanced.
Nashukuru kwa kunijulisha kuwa hakuna source yenye kuprove kuwa hayo yote RA aliyafanya huko bungeni,kama akiweza kuleta ushahidi,itaondoa ile nadharia ambayo wengi wetu humu tumekuwa nayo kuwa RA huwa ni kama bubu huko bungeni,ninavyo amini mimi ni kuwa jamaa huwa hachangii na kuna taarifa zililetwa hapa kuwa ndiye mbunge aliyevunja rekodi ya kutochangia kama sikosei.Wapi na wapi?
Hoja ya kuzuia viongozi wajao wasijinufaishe kifisadi again ni ya msingi,lakini mleta hoja bado umechanganya sana issue na kuonyesha bias zaidi ya kulenga kwenye issue.Kama alivyosema mtoa hoja mwingine hapo nyuma,issue hii inaweza kuwa fixed kwenye mchakato unaokuja wa katiba mpya.
 
Thread hii haihitaji wavivu wa kufikiri, mtasema ...anawasafisha, umetumwa, craps, umepewa sh.ngapi, huna tofauti kabisa na wanasheria wa TANESCO wasiojua A wala B na wanaingizwa mknege mchana mchana, mara unamponda mara unamsafisha tatizo ni WEWE haujanielewa... HUNA HOJA KAA NJE, sitajibu vijembe sijapiga kijembe naeleza HALI HALISI TUNAYOISHI HUMU! SINA USHABIKI WA CHAMA ..................


Umeanza vizuri brother, lkn kizuri ni kuwa unajistukia.
Kwa taarifa yako hawasafishiki hao hata kwa detergent gani? Mwisho wao ni ubunge, Urais labla watanzania wa kizazi hiki wote wafe. Hao na kaniki tofauti ndogo sanaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hivi Waberoya nawe ushanunuliwa???naona unakuja kihovyo-hovyo sana siku hizi,naona ni tofauti na nilivyokuzoea...hembu jipeleke kwanza kwa Babu loliondo
 
Umeanza vizuri brother, lkn kizuri ni kuwa unajistukia.
Kwa taarifa yako hawasafishiki hao hata kwa detergent gani? Mwisho wao ni ubunge, Urais labla watanzania wa kizazi hiki wote wafe. Hao na kaniki tofauti ndogo sanaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Waberoya,

Umeleta mada nzito, muhimu na mahsusi,
Tatizo ni mifano ya watu uliyotumia, wana utata!

Tufanyeje!
Mimi nadhani hivi vitu vikiwekwa bayana kwenye "katiba ya watu" itasaidia kwa kiasi kikubwa kutatua matatizo mengi pamoja na hili.
 
Waberoya again!
RA ameisaidia tz sana kwenye uchumi.....leta ushahidi.
 
Waberoya again!
RA ameisaidia tz sana kwenye uchumi.....leta ushahidi.
Alete data zinazoprove kuwa RA alitoa michango hiyo huko Bungeni...Hakuna minutes?Hilo swali la kusaidia kwenye uchumi kama yeye ni mtetezi wake mbona very easy?Kama jamaa ni mfanya biashara mkubwa ambaye watetezi wake wanaamini kuwa ni mmojawapo wa watu ambao endapo watashughulikiwa nchi itayumba?Kwa tafsiri nyingine pia inaamisha wana nguvu kisiasa na kiuchumi...And then atakwambia ni a potential tax payer,kwasababu kama angekuwa mkwepa kodi tunaamini angekuwa pahala panapostahili...Mjifunze kuuliza mswali magumu,ndo maana watu wanaposti upupu tu nowadays na matusi.
 
Waberoya;

Kwa kifupi hii ndio theory/logic yako sio?

EL na RA walikuwa ni matajiri "malaika" lakini wakageuka kuwa mafisadi
Hivyo basi Mbowe nae kwa sasa ni tajiri "malaika" lakini baadae atageuka kuwa fisadi!!
 
Huyu mtoa mada ni muongo sana na inaelekea huwa anazungumza na kina RA, Hizo taarifa amezitoa wapi. Acha kusafisha uchafu usiosafishika. Yeyote atayekuwa kiongozi next time tutambana na katiba mpya
 
If you read between the lines you can sense solid point for the betterment of our nation.

Yes we need a transpearent system to fight corruption.
 
Waberoya nimekugongea li-thanks kwa sababu umegusa kile ambacho nimekuwa nikifiri (The only way ya kupunguza Ufisafi ni future to come is to set a clear system in which all leaders will be accountable to> Tanzania ya leo wengi hata walioko hapa Jamvini hawawezi kuishi kwa kuktegema mishahara yao!! our system is corrupts and the only way to rescue our economic reducing mafisadis is to set a new system and develop the spirit of self discipline.
Ni lazima tuwe na mfumo wazi wa responsibilities and accountability vinginevyo we'll have mafisadi tena katika utawala from one generation to the other
 
Mwl.Enginner Weboroya Mke wa Mbowe ambaye ni Daktari wa binadamu na mtafiti mzuri sana amebwaga manyanga ya kikazi kwa muda ili angalie miradi mzee asonge mbele na gurudumu la kutukomboa Mbowe nadhani ni mtu ambaye anajua mmipaka yake hata kabla yakuwa kwenye madaraka ya kiserikari huyu amejitahiidi kuhakikisha mambo ya biashara yanakuwa na uongozi mwingine kabisa ndani ya familia

Wewe kweli unajidanganya. Kwa kifupi huwezi huwezi kumkataa EL ukampenda Mbowe ikiwa sababu ni ile ile ya ufisadi. Huyu jamaa Mbowe atakuja kuwa kama hawa tu. Ninyi mtaona, hakuna jipya hapa. Wote wanakimbilia IKULU kwa speed ileile, tena mbaya zaidi wengine wako tayari kuingia hata kwa kumwaga damu. Jiulize ni kwanini??
 
Waberoya umeamua kuamsha akili za wadau hapa ndani.

Mie nina hoja mbili tu katika yoooote uliyoongea.

1. Kama utajiri wa kina LA na RA unatokana na familia zao (kama ilivyo kwa Mbowe), unaweza kutujuza hapa japo kwa ufupi baba/wazazi wa EL na/au RA walijihusisha na biashara zipi ambazo watoto (EL au RA) walirithi na walipopata madaraka ya kisiasa wakatumia udhaifu wa sheria kujilimbizia mali?? Hii itaondoa dhana kwamba utajiri wa EL ama RA ni wa first generation haujavuka kizazi nga kimoja kama ilivyo kina Manji au Mo Dewji.

2. Pamoja na uwepo wa katiba mpya mpya kuna haja ya kuhuisha sheria za uchaguzi/msajili wa vyama ili kwamba pindi kiongozi wa kisiasa anapochaguliwa kushika nafasi ya kiserikali basi automatically apoteze nafasi yake ya kisiasa. Mfano namaanisha pindi Dr. Slaa anakuwa rais wa Jamuhuri basi apoteze sifa ya kuwa Katibu wa Chadema ili mbali na bunge, chama kinachotawala kiisimamie serikali. Kwa sasa JK ndiye rais na M/kiti wa chama, hii huathiri mlengo wa chama kwa ujumla.
Ndio maana wakati kila mtu alizungumzia katiba mpya Katibu wa CCM mzee Makamba yeye alisema "Kauli ya Rais ndio itakuwa kauli ya Chama"! Huu ni ulevi na uhayawani, kwamba mawazo ya chama yategemee mawazo ya mtu mmoja in the name of Rais. God forbid!!!!!

By the way week end ishaanza sitaki kujipa mastress
 
Thread hii haihitaji wavivu wa kufikiri, mtasema ...anawasafisha, umetumwa, craps, umepewa sh.ngapi, huna tofauti kabisa na wanasheria wa TANESCO wasiojua A wala B na wanaingizwa mknege mchana mchana, mara unamponda mara unamsafisha tatizo ni WEWE haujanielewa... HUNA HOJA KAA NJE, sitajibu vijembe sijapiga kijembe naeleza HALI HALISI TUNAYOISHI HUMU! SINA USHABIKI WA CHAMA

nasema hivi, nasema hivi, kuwa wafanyabiashara wajao watazuiliwa vipi wasiwe rostam au el, umenipata??

Kuna hoja huwa hazijibiki mpaka umekaa chini kwanza na kutafakari this is really JF mambo ya kata hapa hayapo.

Hujaelewa -uliza
imekuchoma- lia
imekufurahisha- cheka
inafundisha katekeleze

imeakuamsha usifanye shingo yako kuwa ngumu......Nchi hii ambayo kila mtu ni fisadi we need serious reformation to believe our leaders ebo!
Ndugu yangu Waberoya pole sana! Ila hatutakiwi kuchoka kuwatoa watu katika lindi la upungufu wa kufikiri na kuabudu kwamba fulani ndio atatufanyia hivi.. sisi hatuwezi kufanya hivi... akili za watanzania zinazidi kudumaa na kudhani wanaishi sayari ntingine... Tunaangalia mabaya na mazuri ya hao tukiyaacha kwa kuwapata wema wengine... watu wanasahau media za Tanzania ndizo zinawapamba watu na kuwaanika! Watu wanasahau kabisa media za Tanzania zinaaminika na upepo unaweza kubadilika wakati wowote! Mifano ipo wenye akili wanakumbuka.

Hivyo basi wenye upeo finyu kwa kutafakari hawataelewa thred hii inahusu nini!???
 
Its a scholarly thread. Ni ya aliyekaa chini na kufikiri kwa akili sana, kwangu ni nzuri sana!
 
katika maisha ya binadamu kuna maswali kama what, who, when, how, what ought to be, what if nk nk. japo si sawa na kupoteza muda lakini ni vizuri kuwa makini kama unakesha kujiuliza what if, mfano eti "........ jua likitokea kaskazini......." nk. siku zinaweza kubadilika wakati wowote na hakuna guarantee kwa kitu chochote ambacho hakijatokea bado.
 
Mkuu umemsifia RA hadi kuna sehemu umesema tu 1999 halafu RA bila kusema alifanya nini hiyo 1999.Hata hivyo it is amazing kama hiyo record uliyoiweka hapo juu ni ya kweli,je kuna namna yoyote unaweza kuprove hizo accreditions?Yani ule ujambazi wa Kagoda unampa heshima ya kuufanyaje?Ama is it a different Kagoda you're talking about?

I meant waziri Kigoda na sio kagoda mkuu, FYI simsifii RA kama unavyotaka iaminike nimeweka challenge na maoni yako yanahitajika. Mushi siku zote hizi ulikuwa hauyajui haya?? si habari za marekani hizi au russia ni hapa Tanzania you need accreditions! what a joke.

Umejianika vibaya sana mkuu hii chelenji nimeonya siyo ya ushabiki ni reality zilizoko na tunaishi nazo! sijamsema Mbowe kwa ubaya ni mjasiriamali kama mimi, sina hiiden agenda hapa nimeweka kupata ufumbuzi wako, SIJAONA hilo nimeona ukikosoa CL

Jmushi, inakuwaje record nzuri kam anavyoripoti "Waberoya" Gazeti la Mtanzania, Rai wasiandike kuhusiana na bosi wao!!! ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza!!!

Habari hii iliandikwa na Raia mwema na hizo rekodi nilizitoa huko mkuu!


You guys no one will ever teach you or remind what happened in this country, mnatakiwa kujua na ndio tutaweza kupambana na mafisadi

Ukitaka msaada wa kujua nilikoipata hii taarifa ni PM, na nitaiweka hapa jamvini, nasema uni-PM maana huwa sipitii kila post wakati mwingine na ninaweza kuiruka
 
Ndugu yangu Waberoya pole sana! Ila hatutakiwi kuchoka kuwatoa watu katika lindi la upungufu wa kufikiri na kuabudu kwamba fulani ndio atatufanyia hivi.. sisi hatuwezi kufanya hivi... akili za watanzania zinazidi kudumaa na kudhani wanaishi sayari ntingine... Tunaangalia mabaya na mazuri ya hao tukiyaacha kwa kuwapata wema wengine... watu wanasahau media za Tanzania ndizo zinawapamba watu na kuwaanika! Watu wanasahau kabisa media za Tanzania zinaaminika na upepo unaweza kubadilika wakati wowote! Mifano ipo wenye akili wanakumbuka.

Hivyo basi wenye upeo finyu kwa kutafakari hawataelewa thred hii inahusu nini!???

Mkuu maneno mazito asante wewe na wengine walionielewa tukisimamia ukweli tutapata ukweli na kuishi katika ukweli nchi hii si ya watu wachache tu wanaojiita CCM, CDM, CUF au sijui nani ni ya watanzania woote, huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom