Challenge: Is Mbowe another future Rostam Aziz or Edward Lowassa?

If you read between the lines you can sense solid point for the betterment of our nation.

Yes we need a transpearent system to fight corruption.

Its a scholarly thread. Ni ya aliyekaa chini na kufikiri kwa akili sana, kwangu ni nzuri sana!

Asanteni sana, mmeifanya siku yangu kuwa nzuri nawapa zawadi ya article hii msome na kutafakari niliposoma nilisj=htuka na kusema ni RA huyu huyu, nikafanya upelelezi wangu na kugundua we have serious problem

Nchi hii haiko chini ya kukundi cha wanasiasa fulani tu

waliodhani waberoya kakurupuka na wengine kutaka ushahidi huu hapa

http://www.raiamwema.co.tz/news.php?d=599
 
Alberto msando umeamua kutumia id photocopy waberoya kwa nini usingeendelea vile vile ili kuonyesha njia na wengine tutumie majina tuache hofu yaani umepiga hatua kama mlevi moja mbele mbili nyuma japo michango yako ni mirefu sana lakini ina afya
 
Duh! Saa ngapi hivi sasa jamani, usije ukawa umeme ndio unarudi na mtu kaishapata nyingi

Msando sijajua kwa nini watu wanafikiri mimi ni wewe! nadhani unapata picha sasa ya thread ileee! unaona mh. Msando wafuasi wenu walivyo?

Carefree Msando bado mgeni humu, sisi wengine tumeishakomaa sana , Msando ni CDM, mimi ni mwana mabadiliko sina chama! Msando ni mh. mimi sina wala sioti cheo cha usiasa

Ila Msando tumefanya kazi USRC mlimani na hata tukikutana mimi namfahamu yeye, yeye hanijui mimi!

acha uongo usio na tija,
 
Waberoya kuna vitu umepotosha kuitafutia mashiko hoja yako. No 1. EL hatoki familia tajiri bali alitajirika ghafla baada ya kupewa uwaziri wa ardhi. No 2 EL alikuwa mlafi na laghai kabla hata ya kupata uwaziri, kwa mfano kuna jamaa yake alikuwa UK akawa anamtumia fedha awe anajenga nyumba yake EL akawa anazifanyia mambo mengine jamaa kurudi akakuta kiwanja kitupu kumwuliza EL kulikoni EL akamkana jamaa. NO 3 ni kweli RA anatoka familia iliyokuwa na fedha ila ameziongeza mara kumi kwa uporaji wa fedha za WATANZANIA. Sidhani kama ni mjasiriamali mzuri ila no doubt ni mwizi mzuri sana. Yeye hukaa na wanasheria wake kabla ya kuiba kupanga namna ya kuiba asikamatike. Sioni ufanano wowote kati ya RA/EL na Mh Mbowe!
 
Duh! Saa ngapi hivi sasa jamani, usije ukawa umeme ndio unarudi na mtu kaishapata nyingi

Msando sijajua kwa nini watu wanafikiri mimi ni wewe! nadhani unapata picha sasa ya thread ileee! unaona mh. Msando wafuasi wenu walivyo?

Carefree Msando bado mgeni humu, sisi wengine tumeishakomaa sana , Msando ni CDM, mimi ni mwana mabadiliko sina chama! Msando ni mh. mimi sina wala sioti cheo cha usiasa

Ila Msando tumefanya kazi USRC mlimani na hata tukikutana mimi namfahamu yeye, yeye hanijui mimi!

acha uongo usio na tija,

mimi huwa natumia lugha za kiungwana siwezi kukuita GT muongo ila hausemi kweli kwani nimekubaini wewe ni Alberto Msando kutokana na matiririko wa mabandiko yako na namna unavyorespond kwa wachangiaji
Hausemi kweli kusema Msando ni mgeni humu wakati wewe ni mzoefu ila ulikuwa ukitumia jina hili kabla haujaamua kutumia halisi na sasa umeamua kurudia mmbachao .
 
Nimejaribu kumwomba kama kuna uwezekano wa kutuwekea uthibitisho wa aina flani wa hizo record nzuri za RA,kama si za kweli basi ina maana mleta hoja yuko bias na huku akitaka kutuaminisha kuwa yuko just fair and balanced.
Nashukuru kwa kunijulisha kuwa hakuna source yenye kuprove kuwa hayo yote RA aliyafanya huko bungeni,kama akiweza kuleta ushahidi,itaondoa ile nadharia ambayo wengi wetu humu tumekuwa nayo kuwa RA huwa ni kama bubu huko bungeni,ninavyo amini mimi ni kuwa jamaa huwa hachangii na kuna taarifa zililetwa hapa kuwa ndiye mbunge aliyevunja rekodi ya kutochangia kama sikosei.Wapi na wapi?
Hoja ya kuzuia viongozi wajao wasijinufaishe kifisadi again ni ya msingi,lakini mleta hoja bado umechanganya sana issue na kuonyesha bias zaidi ya kulenga kwenye issue.Kama alivyosema mtoa hoja mwingine hapo nyuma,issue hii inaweza kuwa fixed kwenye mchakato unaokuja wa katiba mpya.

jmushi1!
Uko sawa. Ila nafikiri the good source of all that ni hansrad au watever they call it kwa wale wenye access waangalia sijui kama Website ya Bunge in hizo data kwa vipindi husika.
 
Back
Top Bottom