Chalinze: Mabosi watatu wa Tanzania Investment Centre, wafariki ajalini

Hivi hawa viongozi wa serikali wao suala la mwendokasi hawalitambui? Ikichunguzwa sababu ya ajali itakuwa ni overspeeding tuu. Wasipojirekebisha tutayasikia kama haya kwa sana.
 
Huyo jamaa anaona wenzie hawajui kitu yeye ndio anajua kwa sababu 'anatumia' hizo gari.
Huyo kijana anajifanya mjuaji sana, anaongelea air bags kwenye ajali ya uso kwa uso na kwa spidi kubwa!!! labda kama ni vifaru vya kijeshi ndo vimegongana.
Kiongozi sikufahamu ila unisamehe kidogo nikuambie hili.

Ni upuuzi kuleta mizaha ya namna hii wakati watu wana uchungu na msiba. Wengine wamepoteza ndugu, wengine waume zao, marafiki, classmates na hata wafanyakazi wenzao waliowapenda sana.

Usingojee msiba ukuguse wewe binafsi ndipo uhisi uchungu wa msiba.

Take it or leave it; the choice is yours!
Wabongo tumefikia hatua mbaya, utani hata kwenye misiba. Zamani tulifunzwa vizuri sana kwani ni yetu wote hiyo safari, na waliotangulia tunapaswa kuwaaga kwa heshima na hekima.
 
Kiongozi sikufahamu ila unisamehe kidogo nikuambie hili.

Ni upuuzi kuleta mizaha ya namna hii wakati watu wana uchungu na msiba. Wengine wamepoteza ndugu, wengine waume zao, marafiki, classmates na hata wafanyakazi wenzao waliowapenda sana.

Usingojee msiba ukuguse wewe binafsi ndipo uhisi uchungu wa msiba.

Take it or leave it; the choice is yours!
Machungu ya msiba nayajua sana Ila nilichokiandka hakibadili jambo lolote katika uhalisia wake
 
View attachment 783211 View attachment 783214 View attachment 783211 View attachment 783214
Habari za usiku wadau kuna ajali mbaya iliyotokea leo usiku maeneo ya Chalinze na kugharimu maisha ya Mabosi watatu wa TANZANIA INVESTMENT CENTRE.

Mabosi hao walikuwa wanaelekea Dodoma kwenye mkutano/Kikao muhimu kilichokua kifanyike Kesho Jijini Dodoma.

Waliofariki ni Saidi Amiri Moshi (Kaimu Mkurugenzi wa Research zamani Corporate Affairs), Zacharia Kingu (Kaimu Mkurugenzi wa Corporate Affairs zamani Investment Promotion) na Martin Masalu (Meneja Research).

Waliopata majeraha ni wawili yaani Godfrey Kilolo (Meneja wa Sheria) na dereva wa gari hilo aliyejulikana kwa jina moja tu la Priscus.

Mwenyezi Mungu aziweke roho za Marehemu mahali pema peponi na awaponye majeruhi wa ajali hii mbaya.
tujiandae wakati wote kwa kuwa hatujui siku wala saa
 
Huyo Said Amiri Moshi naamini alikuwa anafunga kwa dhati mwezi huu mtukufu,kama hivyo ndivyo basi hakika M/Mungu mwingi wa rehma amemfutia madhambi yake kwa hizi chungu 5 alizofunga.....
 
duh poleni wafiwa!
ajali haina kinga ila kuna vitu bado vinatia ukakasi...
trafiki polisi aliyepitisha hiyo Leseni class C kwa kijana wa miaka 23 awe mtuhumiwa wa kwanza,mimi najua class c hutolewa kwa dereva mwenye 24 kuendelea WITH 6 years experience in driving awe amaepitia NIT au VETA
LESENI zinatolewa kama njugu mjini mamalaka husika zipo tu
Sasa kinachokushangaza hapa ni nini?? Wakati unajua hii nchi ilikua imeoza na imejaa rushwa hadi matakoni?? Hayo ndio matokeo yake sasa; Ngosha anainyoosha nchi watu wanapiga kelele. Poleni sana wafiwa; wamefariki vijana kabisa na nguvu kazi ya nchi imeathirika. JPM piga kazi baba.. hapa kazi tu.
 
Meneja Research (RIP) alikuwa jirani mzuri sana kwa shida na raha wa ndg yangu Mangi Gastro maeneo ya Goba -Kunguru mtaa wa Mahindi.
 
Three bosses at once....

Too risky..

Taifa hili.. Hata kama ni kubana matumizi
.
 
Huyo kijana anajifanya mjuaji sana, anaongelea air bags kwenye ajali ya uso kwa uso na kwa spidi kubwa!!! labda kama ni vifaru vya kijeshi ndo vimegongana.
huyo kijana ni mwehu..siku yakimkuta ndo atapata akili
 
Barabara ya Dar - Chalinze... hasa karibu na Chalinze ina corrugations & mawimbi mno mnooo dereva inafaa ajue vema barabara hiyo. Ni hatari sana kuendesha speed ktk hiyo road.
Kuanzia Mlandizi hadi Chalinze haifai.........mawimbi ya hatari.
 
Back
Top Bottom