Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Nakupa dakika tano ( 5 ) tu zijazo naomba iondoe haraka sana Mikoa ya Mara na Mtwara ambayo naiona hapo kabla hayajakupata.
Kumbuka naongelea makao makuu ya mikoa sio mkoa mzima,mji kama Musoma umedumaa sana sawa na Mtwara.Kwa uzoefu wangu kwa Mara ungeniambia mji kama Tarime ndiyo kiuchumi kupo vizuri,lakini kwa Musoma hapana.
 
Sasa hapo ndio ulinganishe na Chalinze yake huyo jamaa. Labda kuna Chalinze iliyojificha mbali na ile tuionayo kila siku tukipita?
Sasa iweje ujenge hotel ya kifahari halafu hakuna wateja.Yaani kwa mwezi hotel inaingiza laki 5sasa iyo ni biashara gani.
 
Sasa iweje ujenge hotel ya kifahari halafu hakuna wateja.Yaani kwa mwezi hotel inaingiza laki 5sasa iyo ni biashara gani.
Ingekuwa biashara hiyo wasingejenga. Wewe biashara yako ilibuma maana haikuwa na wateja
 
Stand haijengwi na watu binafsi! Halafu hiyo stand ilibidi ijengwe ila sababu za kisiasa zilikwamisha huo mpango. Wasomi wana fanya maendeleo yao, wewe ingia mtaani au vijijini uone maendeleo ya mtu mmoja mmoja! BK nyumba ya udongo unaitafuta kwa torch, bati za kisasa. Karibu BK december hii wasomi tutakua likizo na ma prado yetu
Ila stendi ya bukoba bado sana.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoan

Inaizidi kwa lipi?
 
Ingekuwa biashara hiyo wasingejenga. Wewe biashara yako ilibuma maana haikuwa na wateja
Wengine tuliponzwa na maneno ya watu,ya kwamba bukoba ni noma kwa biashara,niliyoyakuta ni tofauti na uhalisia
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Chalinze ipi?
 
Stendi si ni kazi ya serikali .si unajua serikali inavyopatenga sehemu kama bk
Kwa nini msifanye donation kwa serikali kusaidia kujenga hiyo stendi,kwani inaudhalisha mkoa.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Umeniudhi hapo kwenye bold! Hivi mungu wa dar anaweza kuamrisha chochote Chalinze na kikawa!? Joke
 
Kwa nini msifanye donation kwa serikali kusaidia kujenga hiyo stendi,kwani inaudhalisha mkoa.
Mambo yalishapangwa na wengi lakini serikali ndo kikwazo kumbuka uwanja wa kaitaba Tu uliojengwa Kwa nyasi bandia ambao ulikuwa sponsored na wenyeji ukaishiwa kusema ni ukabila,je omkajunguti airport,meli mpya yote yalikuwa cancelled na serikali sasa stendi ndo balaa .
 
Back
Top Bottom