Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Maelezo yako yako hivi:-
1. Kwa Mzunguko wa Fedha
2. Maendeleo
3. Majengo
Hivyo vitu vitatu,kweli Chalinze ina ubavu wa kupambana hata na Masasi?
Logical Thinking and Reasoning yako inanipa mashaka.
Kwa hizo criteria hiyo miji niliyotaja hakuna wa kufikia Chalinze
 
Kwa hizo criteria hiyo miji niliyotaja hakuna wa kufikia Chalinze
Tutajie majengo au Hotel 10 ambazo ni Classic kwa Chalinze,halafu weka makusanyo ya Chalinze kama data za serikali sahihi. Hapo maana yake nimetaja majengo na Maendeleo kwa pamoja.
Mtwara nakutajia Takwimu recently ambazo ni
1. Majengo:
Tiffany Hotel,VETA,Cashewnut Lodge,Bank Kuu,Rahaleo Complex,BNN Royal Hotel,PSPF Building,Shangan Apartments,Maduka Makubwa Indians NHC Building Street,Naf Beach Hotel,Makonde(Police Mess), kutaja baadhi tu.
Mji pia una daladala za route ya mjini za kutosha achilia mbali zinazotoka vijijini. Hii inaashiria ni mji mkubwa na una kila kitu. Siwez kutaja Bandari,Kiwanda cha Dangote au Olam au Airport kwa sababu kwanza Chalinze haina hadhi yoyote. Washindani wake ni Nanyamba huko.
Ama kuhusu mapato,Mji kwa takwim za Tamisemi,ulikusanya kama 4.5bn/- ikiizid kidogo miji ya Moshi,Iringa na Morogoro ambayo nayo kila moja iliweza kukusanya Tsh kati ya 4.0-4.4 billion.
Sasa vigezo vyako vya kuuza karanga na mananasi haviwezi kupmabana na hata Masasi,hapa sitaji Mtwara.
Hayo majengo niliyokutajia unaweza kugoogle ukajionea mwenyewe. Ila nijuavyo,unajua ukweli ila unapenda debate za makusudi ili uendelee kukaa kwny keyboard.
 
Hizo hotel za Mtwara hakuna tena wateja wanaolala,unaingia kwenye hotel kubwa vyumba zaidi ya 50,mnajikuta mpo watu 4 tu hotel nzima.Sasa hiyo fedha itatoka wapi
 
Reactions: apk
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
chalinze ile ambayo wananchi wake wanakunywa maji ya kwenye dimbwi kama ng'ombe???[emoji15]
 
mlima nyoka na eneo lile lote mpk upande wa pankumbi ni hatari tupu mkuu, nyumba zimejengwa hovyo hovyo
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Bila kututajia mzunguko wa fedha ni kiasi gani kwa siku hapo Chalinze na huko kwenye mikoa uliyoitaja, tutajuaje kwamba taarifa yako siyo uzushi tu? Habari za kuaminika zinakwenda na data.
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Unaongelea hii Chalinze ya Wakwele wanaocheza ngoma na shule hawajui wakawazidi Maprofessor wa Bukoba? Hawa wnaonalala kwenye vibanda, nenda Kagera tena migombani huone majumba, Lini Chalinze kielimu wameanza kwenda shule? Ebu acha utani
 
Bila kututajia mzunguko wa fedha ni kiasi gani kwa siku hapo Chalinze na huko kwenye mikoa uliyoitaja, tutajuaje kwamba taarifa yako siyo uzushi tu? Habari za kuaminika zinakwenda na data.
Mwenye macho haambiwi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…