Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Tunaongelea Chalinze vs Makao makuu ya mikoa, sio mkoa mzima
 
Ila pole mkubwa naona jiwe gizani limefanya kazi yake
 
Unaijua Simiyu Bariadi au unaisikiaga tuu wee jamaa fanya utafiti umekurupuka
Bariadi naifahamu, ata kupewa hadhi ya mkoa haikustahili, sema juhudi za chenge(joka la makengeza) halishindwi kitu.
 
labda haujaelewa, pamoja na hadhi ndogo iyo ya chalinze,ila mzunguko wa fedha ni mkubwa sana kuzidi miji niliyoitaja,sasa wengien wanaleta mapicha ya mahotel humu ya uko Bukoba wakati hotel zenyewe kwa mwezi zinaingiza laki 8.
Unapimaje mzunguko wa fedha za Chalinze vs miji uliyoitaja? Kuna vigezo vya kiuchumi ambavyo vinapelekea mji kuwa na hadhi. Huwa tunaanza na Halmashauri ya Kijiji, Halmashauri ya Mji ndogo, Halmashauri ya Mji, Halmashauri ya Manispaa, na Halmashauri ya Jiji. Hizi hadhi haziji hivihivi, sasa tuambie, Chalinze imefika hadhi gani kati ya hiyo?

Kama Chalinze ingekuwa na mzunguko mkubwa wa fedha kuliko miji unayosema, basi ingefikia hata hadhi ya Halmashauri ya Mji.

Vv
 
upo sawa kwa maelezo yako,lakini kumbuka Chalinze licha ya kutokuwa na hadhi kubwa ina competetive advantage za kutosha kuweza kuzipiku hiyo miji yenye majina makubwa lakini hakuna cha maana(Mji jina kubwa uchumi=0)
 
Pato la Halmashauri ya Mji mdogo wa Chalinze ni kiasi gani kwa mwaka Vs pato la Halmashauri ya Manispaa ya Singida?

Vv
 
Pato la Halmashauri ya Mji mdogo wa Chalinze ni kiasi gani kwa mwaka Vs pato la Halmashauri ya Manispaa ya Singida?

Vv
Taarifa zote hizi zipo ofisi ya takwimu taifa au ofisi ya Tamisemi dodoma
 
makao makuu ya mkoa wa shinyanga ni wilaya ya kahama...sasa sijui unaifahamu kahama au umejiandikia tuu.

Binafsi ninaishi Dodoma, ila Dodoma ni cha mtoto kwa Kahama!.
 
makao makuu ya mkoa wa shinyanga ni wilaya ya kahama...sasa sijui unaifahamu kahama au umejiandikia tuu.

Binafsi ninaishi Dodoma, ila Dodoma ni cha mtoto kwa Kahama!.
Eti makao makuu ya mkoa wa shinyanga yapo kahama,we vumbi la dodoma limeshaingia na kujaza vyumba vya ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…