Chalinze inazidi mikoa ifuatayo

Picha za nini wakati jambo lipo wazi kabisa.
Tupe angalau kiwango cha makusanyo ya mapato ya halmashauri za miji uliyotaja maana itatuonyesha uhai wa mzunguko wa pesa na pengine idadi ya watu
 
Mna chujiwa muwa hamuwezi kutafuna

Mhindi nao hamuwezi kula hadi kachumbari

Wanaume w dar buana
Mvulana wa mkoani migongo imeshachoka kwa kazi ngumu na shida ,adi wanashindwa kufanya kazi vizuri.
Tupo busy na shughuli za kiuchumi ,mda wa kuaribu kutafuna miwa hatuna,ndio maana tunabuni njia ya kutafuna miwa na mahindi bila kupoteza muda.
 
Tupe angalau kiwango cha makusanyo ya mapato ya halmashauri za miji uliyotaja maana itatuonyesha uhai wa mzunguko wa pesa na pengine idadi ya watu
Unatokea mkoani gani?
 
Acha kudiscuss watu, discuss issues on the table. Wewe unaongea vitu ambavyo huwezi kuvisupport na data zozote.
Takwimu zinapatikana ofisi ya takwimu ya serikali
 
Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Nadhani unafanya utani!! Yaani chalinze iizidi musoma!! Chalinze kuna tasisi zipi zinazoleta huo mzunguko wa fedha hadi kuzidi shinyanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…