GE2025 Chalamila: ‘Hatuitaki CCM, hatumtaki mama’ ni hasira za muda mfupi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa ufumbuzi muda si mrefu. Ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara katika kituo cha mabasi hayo, Kimara Mwisho, Dar es Salaam.

View attachment 3481740
Askari wanasikiliza kwa umakini kama vile wanaakili
 
Muda mfupi kwa chalamila ni miaka mingapi??
 
Back
Top Bottom