chakututenganisha ni kifo

chakututenganisha ni kifo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BUyGB6lCQAAX1JC.jpg:large
 
MAN U toka ilipotandikwa na BARCA tatu moja mwaka 2011 UEFA, halafu man city wakaichapa sita, loh! roho yangu ilivyo nyepesi, nikagoma kuwa mshabiki wa man u na mpira kwa ujumla!

iam dormant now... win or loose, iam not affected.
 
uko sahihi mkuu, saa ingine binadamu tunajitafutiaga wenyewe ulcers
 
kabisa mkuu.. tena nilishangaa kusikia jamaa kajinyonga huko kenya, mwingine nigeria kaua watu kwa kuwagonga na gari makusudi! kwa sababu tu ya mpira wa miguu..

loh! mi bora tu nicheze basketball na volleyball basi..!

iam never football
 
Labda kama hukuipenda, huwa kuna kale karoho kanabakia palepale, na siku ikishinda kanakua kwatu...!!!
 
mkuu bora nichangamkie fursa nyingine.. btw nilipenda mpira by force tu. haikuwa hobby!! wacha nitumie urefu wangu kucheza basket labda siku moja nitainukia NBA
 
mhhhhhhhh kumbe mrefu weye Excel fursa gani hizo utakazochangamkia unijuze
 
Last edited by a moderator:
MAN U toka ilipotandikwa na BARCA tatu moja mwaka 2011 UEFA, halafu man city wakaichapa sita, loh! roho yangu ilivyo nyepesi, nikagoma kuwa mshabiki wa man u na mpira kwa ujumla!iam dormant now... win or loose, iam not affected.
Mim mwenyewe roho yangu.nyepesi....man u hata siifwatilii sasa....wacheze wafungwe washinde watajiju......ila roho iyaniuma endapo arsenal watachukua ubigwa.....yani ni heri wachukue hata stoke city kuliko arsenal
 
we bado tu una element za ushabiki... mi nimeshajitoa kabisa! mara moja moja tu huwa naenda kwa kulazimishwa tu na mdogo wangu kwa kumpa company tu ila huwa nakaa tu nje ama nikiwa ndani basi sina conetration...

mwenzangu, presha za kutafuta zitaniua ati!
 
mhhhhhhhh kumbe mrefu weye Excel fursa gani hizo utakazochangamkia unijuze

mamii hutaki nicheze basketball NBA kama hasheem thabeet jamani?

hasheem sasa hivi analipwa bilioni moja na ushee za kitanzania!

hiyo si pesa nzuri kabisa?
 
nataka sana uwe bilionea
ila mpaka ufike huko NBA si mchezo ukaze but hasa
 
wow! thanks indeed!! ngoja niandae vifaa vya mazoezi nianze mzunguko binafsi wa ligi!

kazi ninayo enh?
 
ha h ha hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa tena kifo kilichosababishwa na ugonjwa wa moyo loh
 
Back
Top Bottom