Chakula ni ibada kamili

Chakula ni ibada kamili

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
1474043927901.jpg
1474043931671.jpg
1474043934261.jpg
 
hongera mtoa uzi kwelichakula ni ibada kamili nilimsikiliza vizuri mtumishi mbwambo alifundisha vizuri sana kwenye mkutano wake kkkt mbezi beach
[emoji120] [emoji115] [emoji111] [emoji817]
 
IMG-20171020-WA0110.jpg
huyu ana karma 3
1. Kachezea chakula
2. Kadhahaki roho zilizouliwa
3.kakosoa uumbaji
 
Hivi hawa wanawaza nini? Kufurahisha genge? Tena kwa dhihaka za kingono? Kutumia chakula?
IMG-20180213-WA0088.jpg
 
Funzo kubwa sana hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1577032807269.jpeg

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr makumbuka nikiwa mdogo kama unakula ukidondosha tonge unaambiwa liwekee na mboga juu maana waliotangulia (ancestors) wameomba /wananjaa. Niliamini hivyo kama mtoto japo siku hizi naona kama ilikua tu uzushi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kuna roho zinakula... Chakula hakianguki kwa bahati mbaya lakini pia sometimes kuna jambo unaepushiwa... Kama kupaliwa, uchafu nk

Back
Top Bottom