Chunguza wanaofanya hivyo hupatwa na majanga mara kwa maraHii topic naweza ipa rate ya #10/10.Ni kweli kabisa.
Mi mtu anayeharibu chakula simpendi kabisa.....habari ziwafikie wale wadada wanaoagiza kuku mzima na kung'ata kidogo tu kisha wanasema wameshiba....#siwapendi....na Mungu hapendi.
Kuna baadhi ya mafundisho hayana mahusiano ya moja kwa moja na kukua kiimaniYah chakula ni ibada nzuri mkuu, ila sijawaelewa badhi ya Wasabato kwani wao chakula kingi kwao ni sumu kulingana na mafundisho ya Hellen G. White
Mfano..sukari kwao hawatumii,Mafuta nayo shida,nyama nayo shida, bidhaa yoyote iliyotengenezwa kiwandani kama vile pipi hawapewi watoto,soda,maji,majani ya chai hawayataki hata kuyasikia(wanaatumia mtundula). Yaani mkuu ukienda kwa msabato mkereketwa anyefuata mafundishao ya huyu mama wa kimarekani wiki tu utatoka umekonda.
Urewedi Kasie nnekumithie thanaNakumbuka mama yangu alikuwa akiwaambia kila ndugu waliokuja kuishi nasi kuhusu laana ya kutupa chakula. Aliwaambia mkipika chakula kikibaki kihifadhiwe kijiwe baadae mimi (mama) situpi chakula, atayetupa hata kwa siri laana i juu yake.
Ofcourse msg ilikuwa na kwetu pia sisi watoto wake. Hivo ulichosema Mfumwa mshana n kwerii
Kasie.

Urewedi Kasie nnekumithie thana![]()
![]()
2U2 Kasie mkorofi dawa yake kilinge tuu![]()
![]()
![]()