Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,996
- 828,726
- Thread starter
- #41
Ni kwa kupitia mada kama hizi ndio unaweza kuhawilisha kidogo kidogo...unagusa hapa unagusa pale lakini ukiwa na plan kamili ya kile unachofanya...you have to be very clear n settled upstairs la sivyo utaishia kupoteza lengo la mada husika na kuingia kwenye malumbano yasiyo na tijaNikweli lakini kwa mambo ya rohoni hawezi kueleweka na mtu hata kidogo ila unahitaji kubalance ili kuwaelewesha wa mwilini