Chakula ni ibada kamili

Chakula ni ibada kamili

Kwa kawaida shetani hukaa ktk mila desturi na tamaduni google kitabu kinachoitwa The book of Enoch, the book of God. Utajionea mkuu najua upo deep kwa kias chako ktk ulimwengu wa roho ila google hicho kitabu
 
1466935480430.jpg
nimeingia kidogo tu...shida moja ya elimu za kiroho ni mambo ya ajabu ya siri na ya kushangaza utakayofunuliwa kama ukienda deep sana
Na kadiri unavyozidi kwenda deep ndivyo unavyozidi kujitenga na ulimwengu wa kawaida na ndio maana wengi huishia kuishi wenyewe au maporini kwakuwa kuna vitu anaviona havipo sawa lakini akajaribu kuvielezea anaonekana mwendawazimu
 
unavyomaanisha chakula... hapo "kinywaji " kipo included au? mfano..

1. mtu akiwa anakula ugali, nyamachoma na bia - hii ni ibada pia?
 
Ndio ni ibada kamili kwakuwa ina vigezo vyote vya kuushibisha mwili
 
Shukrani sana
Kuna wakati watu tunahangaika sana kupata pesa kwa ajili ya chakula na mambo mengine lakini mwisho tunapokipata tunakifuja, Mtu anapigana kupata hela ila unakuta nyama kilo imetupwa kisa ilinunuliwa bila mpangilio na huku mtu analalamika uchumi umekua tight
 
Chakula ni ibada sababu inaupa nguvu mwili!,
Na kuna vyakula ambavyo vinakuwa na vichocheo vya homonie yofaut!,
Vyakula vya asili vinanguvu zaid sababu ni sehem ya uumbaji toka mwanzo!,
Kumwaga chakula na kula kupitiliza ni machukizo mbele za Mungu maana amesema tuwe na kiasi.
Mpe chakula mhitaji nae atashukuru maana utakuwa umeihuisha nafsi yake.
Tukumbuke kujinyima wakati mwingine katika chakula maana hufungua ufaham wetu..
Chakula ni tiba maana huwuisha cell mpya.
Tule chakula tukumbuke mwingie amekosa ulichopata ww!, tule tumbuke kwa chakula chako kuna mwingine kwenye kukianda aliumia, alitoa nguvu na jasho!, aliungua jikon au aliacha shughuli nyingine akaanda chakula chako!..Aliuza mazao yake kwa kung'ung'ika maana mtu alienda kuchukua hayo mazao alimuibia!... Au hakupata stahiki yake.
Hivyo chakula ni ibada ivyo lazima tushukuru na kubariki chakula chetu na watu watakao kula maana kimepitia process tofaut.
 
Sio kila chakula ni ibada. Huwezi kula kutimoto ukasema hiyo ni ibada.

Kiufupi, ukiutafuta Ufalme wa Mungu kwanza, yeye atakufundisha jinsi ya kula, kunywa na kuvaa.

Vitu hivyo vitatu (tajwa hapo juu) utaweza kuvifanya kama ibada mbele zake ; kwasababu vitakuwa na maana.

I mean, huwezi kula vyakula sacrificed to idols then ukasema ni ibada ya Mungu. ( Labda shetani)

Au kuvaa kimalaya na kunywa pombe ukasema ibada.

Huwa nashangaa sana watu wanaojiita Wameokoka. Mavazi machafu, bia etc ... Yesu gani anayewafundisha Hayo?
 
Chakula ni ibada sababu inaupa nguvu mwili!,
Na kuna vyakula ambavyo vinakuwa na vichocheo vya homonie yofaut!,
Vyakula vya asili vinanguvu zaid sababu ni sehem ya uumbaji toka mwanzo!,
Kumwaga chakula na kula kupitiliza ni machukizo mbele za Mungu maana amesema tuwe na kiasi.
Mpe chakula mhitaji nae atashukuru maana utakuwa umeihuisha nafsi yake.
Tukumbuke kujinyima wakati mwingine katika chakula maana hufungua ufaham wetu..
Chakula ni tiba maana huwuisha cell mpya.
Tule chakula tukumbuke mwingie amekosa ulichopata ww!, tule tumbuke kwa chakula chako kuna mwingine kwenye kukianda aliumia, alitoa nguvu na jasho!, aliungua jikon au aliacha shughuli nyingine akaanda chakula chako!..Aliuza mazao yake kwa kung'ung'ika maana mtu alienda kuchukua hayo mazao alimuibia!... Au hakupata stahiki yake.
Hivyo chakula ni ibada ivyo lazima tushukuru na kubariki chakula chetu na watu watakao kula maana kimepitia process tofaut.
Ndugu, chakula sio kwa ajili ya kujenga mwili bali ni kwa ajili ya kujenga roho/Moyo wako ili uweze kuulinda mwili wako.

Ukila vyakula sahihi mbele za Mungu, mwili wako utakuwa na Afya siku zote.
 
Kabra ya mambo ya walawi Mungu alibariki kila kitu na na kumpa Adam!, baada ya Yesu Christo akibariki vyote na najsi ni imtokayo mtu na si imwingiayo!.
Sio kila kitu cha faa kwa chakula nakubali ila kila chakula maana hata kuna mihogo yenye sumu!!.. Ila kila kiupacho mwili afya cha faa kwa chakula
 
Ndugu, ni vyema ikafahamika hivi...., Yesu hakuja ulimwenguni kuiondoa Sheria bali kuifanya au kuifafanua zaidi ili watu waielewe.
 
View attachment 360344nimeingia kidogo tu...shida moja ya elimu za kiroho ni mambo ya ajabu ya siri na ya kushangaza utakayofunuliwa kama ukienda deep sana
Na kadiri unavyozidi kwenda deep ndivyo unavyozidi kujitenga na ulimwengu wa kawaida na ndio maana wengi huishia kuishi wenyewe au maporini kwakuwa kuna vitu anaviona havipo sawa lakini akajaribu kuvielezea anaonekana mwendawazimu
Lakini mshana kwa kawaida Kwa mtu aliyeamua kuzama rohoni ni sawa tu ila Mungu ametupa akili so na maarifa binafsi yanatakiwa katika hilo.
 
Nikweli lakini kwa mambo ya rohoni hawezi kueleweka na mtu hata kidogo ila unahitaji kubalance ili kuwaelewesha wa mwilini
 
Back
Top Bottom