Chakula kipi unakifurahia?

papag

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
1,137
1,609
Salama wakuu?
Kwenye haya maisha yetu ya kila siku. Kila mtu ana uhuru wa kufurahia chakula.

Je, wewe huwa unafurahia kula chakula gani? Kilicho karibu yako au mpaka ufunge safari kukitafuta?

Wengine vyakula vya mbali wala sana tofauti na vyakula vya karibu yao. Nini tatizo? Au ni utashi tu wa bin adamu?

Wewe huwa unapenda chakula cha wapi? Mimi huwa sijielewi, kuna kipindi naweza kula sana chakula cha karibu na vice versa.

Karibu kwa uzoefu wako tupeane uzoefu na mbinu za kukabiliana na kutopoteza hamu ya chakula.
 
Hichi hapa
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    13.2 KB · Views: 2
Makande + parachichi

Wali maharage/ maini/ njegere

Ugali kitimoto/ samaki/ choma
 
Back
Top Bottom