mama ShikamooUlivyomalizia ndio ilitakiwa kuwa heading.
yule single mother wa jirani yupo karibu kufungua moyo wa mtuMkuu Bujibuji, ndiyo maana sisi tuliopitia unyagoni tunafahamu kuwa tumbo ka mwanaume lihudumiwe kwanza kabla ya yote.
Wafaransa walilitambua hili na ndiyo walioanzisha utaratibu wa chakula na maingezi ya usuluhishi au deal za serikali. Baada ya chakula na mvinyo makubaliano hufikiwa.
Marahabaa mwanangu. Hujambo?mama Shikamoo
sijambo, karibu tuleeeeMarahabaa mwanangu. Hujambo?
Kukuona boyaKuna kajike kamekula baga chips bata Ceres za kutosha azam milk mwezi mzima hata bao moja sijapata wala kuitikia MWALIKO geto
Mifano ipo mingi tu kwenye biblia juu ya utoaji wa chakula na upokeaji wa mibaraka,
kwa mfano: Nabii Eliya na yule mama wa Serepta, yule mama alibarikiwa sana baada ya kumkarimu Nabii Eliya kwa chakula.
Hata baba wa familia akiihudumia vizuri familia yake chakula bila manung'uniko bhasi milango ya riziki huongezeka.
Biblia pia inasema ktk kitabu cha mithali kuwa mwanamke mwenye hekima ni yule afanyaye kazi ili kulisha familia yake.
Pia kitabu cha mhubiri kinasema mambo yote ni ubatili isipokuwa tu Kula, kunywa na kuvaa. Maana chakula kinaifurahisha nafsi. Ndiyo maana wale waliyozaliwa vijijini wana utamaduni wa kuwachinjia ndugu au wazazi wao mara wanapopatwa na matatizo fulani.
Kutoa Chakula kwa moyo mweupe ni kuomba mibaraka ya ajabu kutoka kwa Mola.
Hata matajiri baadhi hapa Tanzania huwa wanafanya hafla ya chakula kwa walemavu au watu fulani kwa lengo la kufurahisha nafsi zao. Kwa mfano: Ndugu Reginald Mengi.
Kula au kulea?sijambo, karibu tuleeee
Déjà vuIjumaa ya tarehe 15/12/2017 kuna mahali nilisikia kitu kama hiki.
Atafanya tu Hata Kama vyuma vimekazaMkuu [HASHTAG]#OKOYOKO[/HASHTAG] Kwa mwaka huu sijajua kama Ndugu Mengi ameshawafanyia hafla ya chakula walemavu na mimi huwa napenda utamaduni wake huu.
Hahaaaa!! Sasa nyie wanangu msiponidekeza nani anidekeze?KULA
kumbuka hujazoea kudekezwa
ndo tushaanza hivo..., ngoja uanze na kula, huo moyo ufunguke ikiwezekana mlango ung'okeHahaaaa!! Sasa nyie wanangu msiponidekeza nani anidekeze?