Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
- Thread starter
- #61
Hadi mijipaja hufunguliwa kwa password ya chakulando tushaanza hivo..., ngoja uanze na kula, huo moyo ufunguke ikiwezekana mlango ung'oke
Hadi mijipaja hufunguliwa kwa password ya chakulando tushaanza hivo..., ngoja uanze na kula, huo moyo ufunguke ikiwezekana mlango ung'oke
Mkwe mie chakula changu si unakijua eeh?ndo tushaanza hivo..., ngoja uanze na kula, huo moyo ufunguke ikiwezekana mlango ung'oke
hahahaha....., hivi kile nacho ni chakula? au kinabadilishikaMkwe mie chakula changu si unakijua eeh?
Kile ndio chakula chenyewe sasa!!hahahaha....., hivi kile nacho ni chakula? au kinabadilishika
haha nakuelewaa sana......,Kile ndio chakula chenyewe sasa!!
Toa mkwe nawe utapokea. Nasubiri.haha nakuelewaa sana......,
usijaliiiiii..., mama mkwe tena?Toa mkwe nawe utapokea. Nasubiri.
Mambo si ndio hayo sasa!usijaliiiiii..., mama mkwe tena?