financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
Nimemisi makande ya mahindu mabichi na parachichi 😋
Nimemisi majani ya maharage yenye karanga aisee
Nimemisi majani ya maharage yenye karanga aisee
Dona na kisamvu + dagaa wa nazi😋Dona na mboga gani?
Lunch safi sana hii ukipata mpishi mzuri.Dona na kisamvu + dagaa wa nazi😋
Milambo ipo wapi?Kande
Mara ya mwisho milambo high school
Mirambo- TaboraMilambo ipo wapi?
Niliona umeandika 'Milambo' nikajua Shule tofautiMirambo- Tabora
Halafu sio mimi, nimesaidia tuu.Niliona umeandika 'Milambo' nikajua Shule tofauti
Sana, ukitoka hapo unashushia na maji tu inatoshaLunch safi sana hii ukipata mpishi mzuri.