Chakula cha mwanaume kwa nguvu za kiume

sisi huku Darisalama huo ujinga hatuna, sisi ni mwendo wa chips zege
maxresdefault.jpg
Salidarama ndo maana mnawakimbia nyau road
 
Sasa tuwakimbilie watuue? kwani kupambana na hao panya road kazi yetu sie? hiyo kazi ya polisi bwana. kama mwataka na sie tupambane na haopanya road tupatiwe na sare za polisi basi.? Sio kwamba twawaogopa hao panya, hasha, ila hatuwezi fanya kazi sio yetuu. Yanini kujichosha pasina ujiraa.
 
Kwa hiyo mkuu hadi kibaka anaekuja kulowa nguo zako dirishani unamuacha kiss ni kazi ya polisi?
 
6e408f92a064df71a3a7cd86335d293e.jpg
Sie wa Pwani huu ndio mlo wa usiku afu tuna shushia juisi ya miwa na asali lazima dada ako akimbie na chup mkononi
 
Back
Top Bottom