Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Kula inapendeza iwe kwa kiasi ila sio kwa kiwango kikubwa namna hiyo
Ndo kiasi hichoo
Kula inapendeza iwe kwa kiasi ila sio kwa kiwango kikubwa namna hiyo
Usijali sheikh, kwasasa nina wake watatu, bi mdogo ndo kidogo ananisumbua maana bado kinda, anataka ni mtwange vinne mpaka vitano sasa na mimi huwa kimoja hoi, nitakupm nambari yake utete nae.grrrrrrrrr starch+fat+cholesterol uwe unanipm nije kukusaidia mgegedo sheikh
Kama wewe unaweza kumaliza hicho?Ndo kiasi hichoo
Mmh. Punguza chumvi basiNakumbuka sana bush kwetu pale. Mnakashusha hako kama mara tatu yake hafu mko wawili tuu pembeni chungu cha mrenda.
hahaha sawaila anza kupenda vegetables na matunda
mm nakula vegetables sana na matunda am real enjoying
Afu eti nguvu za kiume zikipungua umlaumu nan me aka chips nishaacha .sisi huku Darisalama huo ujinga hatuna, sisi ni mwendo wa chips zege
![]()
Mimi mbioooo! Maana Bwana Sallu umeliamshe dudeNdiyo maana wanaume wa huko wana makalio makubwa
Umesahau ku-bold mkuuNguna la ukweli hilo mkuu...duuh
never mind broUmesahau ku-bold mkuu
Ugali unafanana na kichwa chake[emoji4]
Nimesha mjua unae msema...[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ndiyo maana wanaume wa huko wana makalio makubwa
Labda unapenda kama hii....[emoji2] [emoji2]me nakula hivyo vipapatio tu naliamsha ugali hata ndege watakula
Kumbe ndiomaana wauzaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume hawaishi Daslam....[emoji13] [emoji13] [emoji13]sisi huku Darisalama huo ujinga hatuna, sisi ni mwendo wa chips zege
![]()