bila shaka nimeupokea mwaliko wako bila hiyana nakusubiri pmUsijali sheikh, kwasasa nina wake watatu, bi mdogo ndo kidogo ananisumbua maana bado kinda, anataka ni mtwange vinne mpaka vitano sasa na mimi huwa kimoja hoi, nitakupm nambari yake utete nae.
Unajua ni watu wachache sana wanajua kipago ni kitu gani?bila shaka nimeupokea mwaliko wako bila hiyana nakusubiri pm
Utakuwa umenisaidia sana, natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Nakutumia na picha PM .bila shaka nimeupokea mwaliko wako bila hiyana nakusubiri pm
samahani nimekosea nimetuma direct huku, lakini huyo ndo bi mdogo wangu anae nisumbua, ambae umejitolea kunisaidia.Utakuwa umenisaidia sana, natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Nakutumia na picha PM .
![]()
Ila naona kuna bakuli mbili tena za mboga,,,,kwamba kwa hesabu za kawaida kuna watu watatu watakula japo bado ni mwingi....maana kwa mtu mmoja hata uvute bangi ya Malawi huumalizi.
Itokee ukakumbana na haja kubwa ya huyu mtu kichakani, utajiuliza hapa kashusha maksai au tembo?
hahahaha unapenda dy/dy siyo kwa kusumbulia na jimwanamke libovu pole mkuu kwa kutaka kujitua mzigo wakosamahani nimekosea nimetuma direct huku, lakini huyo ndo bi mdogo wangu anae nisumbua, ambae umejitolea kunisaidia.
Tutake radhi yahe [emoji16] , unataka tuwe kama wa darisalama makalio flati kama mapajaNdiyo maana wanaume wa huko wana makalio makubwa