Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

mshana, umenikumbusha mbibi mmoja yupo Nyakato Mecco Mwanza ni mtaa niliokulia miaka ya tisini anaitwa mama Zaitun au bibi Mafuru, yule bibi wanasema nae kile kigoda anachokaliaga sio kigoda ni mtoto mchanga, upawa wa kugeuzia maharage ni mkono wa mtoto.
Hilo foleni lake fazaaa, jioni utakuta watu wamesimama wanasubiri uji na vitumbua na kuna wengine yupo radhi asile kwake, aende kula kwa yule mmama
 
[emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo yapo sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo yapo sana
Braza we acha tu, niliwahi pia kusikia hapo Bugando mochwari huwa kuna dili la maji ya maiti kwa mama ntilie wa mjini na Sahara kwa waoifahamu Mwanza na Kamanga Ferry
 
Braza we acha tu, niliwahi pia kusikia hapo Bugando mochwari huwa kuna dili la maji ya maiti kwa mama ntilie wa mjini na Sahara kwa waoifahamu Mwanza na Kamanga Ferry
Yale mafuta ni dili sana na yanatumika kwenye mambo mengi sana
 
Aisee Hawa wa mama lishe tabu tupu huu uzi nkianza kuusoma juzi na mingine inayofanana na hii na nikaapa kwa mama mmoja huwa nikienda Moshi lazima nipite maeneo ya mbuyuni nikale pilau kuku au walikuku Bei yake n simple tuu buku tatu unakula unasepa zake Cha ajabu kila nikienda Moshi huwa lazima nipite pale ila baada yakusoma hizi nyuzi kadhaa hapa sikutatu nyuma Basi leo nikaenda Moshi muda wa kula ulipofika nikaenda sehemu zingine kabisa lakin kila nikifika kwenye msosi nafsi inakataa hatimae nikajikuta nipo kwayule mama aisee nimeagiza menu la kuku nimelila na pilipili nyingi saiz nipo kwenye BM narud A-town.

Huyu mama inawezekana nae n mulemule Mana vibajaji vyote taxi mafundi nasie wakuja pale hawakosi anapika bonge la masufuria ila saa Tisa mzee pilau/wali ushaisha linakuja lingine la jion
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayari wewe... Ushawekwa kwenye chupa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayari wewe... Ushawekwa kwenye chupa

Yan sio bure kwakweli Yan pale nashindwa kuelewa kwanini huwa napawaza hvyo kumbe nishahifadhiwa alafu Cha ajabu mama mwenye biashara ndo anaepika achilia mbali wafanyakaz alionao lukuki
 


Upuuzi mtupu ulioandika hapa. Bibi yangu amenisomesha kuanzia darasa la kwanza mpaka namaliza chuo kwa biashara hiyo na kuna kipindi nilikuwa namsaidia hizo kazi. So naijua nje ndani. Mambo ya kutafuta dawa za mvuto yapo, nakataa hapo unaposema kuwa wanaongeza sijui na mavi ya mbuzi, kuweka nyama kwenye sehem za siri nk.
Nyie ndo mnawafanya wamama wa watu wawe hohehahe na kuishi maisha magumu sana! Maana wamejiajiri lakini bado mnawafatafata na mambo ya kijinga mpaka wanafunga biashara zao. Kwa akili ya kawaida tu unaweza kula mavi ukaona ni maharage? Unaijua harufu ya yai viza wewe? Kwa akili kama hizi afrika hatutaendelea aisee. Nimejikuta nawaonea huruma watoto wa mama mdigo. Unadhani walihangaika kwa muda gani mpaka walipopata sehem ya kujishikiza? Ushirikina umewajaa mnashindwa hata kung'amua petty thief or Con men!

I weep for my people!
Ubavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…