Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Unawaza wali maharage badala ya kuwaza Papuchi ya Mkeo na jinsi ya kuitafuna Vyema mkuu Kuna Shida mahala bila shaka.Niende moja kwa moja kwenye maada.
Mwenzenu nimekubwa na tatizo moja kubwa sana, hali hii inaathiri mpaka utendaji wangu wa kazi. Nina tatizo moja kubwa sana kila siku ikifika mida ya kumi jioni huwa naanza kukiwaza chakula cha nyumbani kwangu, huwa natamani kuondoka ofisini muda huo ilimradi tu jioni niwepo nyumbani ili nile, hasa pale napowaza kuwa "BILA SHAKA LEO KUTAPIKWA WALI na MAHARAGE/NJEGERE" mwenzenu huwa nashindwa kutulia kabisa. Nifanyeje kuepukana na hali hii???