Chakula cha baba kitengwe pembeni kama zamani?

Hakuna ubinafsi na tuseme chakula kimepikwa kutokana na idadi ya watu, sasa ukisema kiletwe mezani watu wajipakulie itakuwaje? Na baba anachelewa kurudi nyumbani , tuseme anarudi saa 4 usiku, kwa hiyo wengine nao wasubiri hadi saa 4 usiku?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hatujaelewana...

Ni sawa lakini uwe na wakati mwema.
 
Hujaelewa, issue sio baba kutengewa chakula kingi laah hasha. Issue unaweza kufanana na kutoa sadaka ya malimbuko ya kwanza.

Yaani chakula kikiiva kama ni wali kabla ya kuupakua unauchanyanya wote umeiva, unachukua kibakuli cha dongo unapakua wali unafunikia kwenye sahani nzuri ya dongo.
Ukija mboga unapakua finyango iliyonona ndo ya baba na kama mchuzi umeungwa na nazi basi kabla hujauchanganya ule Wa juu unakuwa mzitoo ndo unamchotea baba unaweka na kiazi kizuri biringanya nyanya chungu na bamia unaichota kwwnye bakuli lake kisha unaweza pembeni.

Kama baba yupo muda hiyo, unapita watoto wamnawishe kisha anapelekewa chakula chake pembeni na pilipili isikose.

Kisha sasa wanapakuliwa watoto na wengine watafuata na hapo mboga unaweza ikavurugwa au kuchanganywa na ikapakuliwa kwa wengine.

Hapo kila memba kwenye familia anakula anashiba ila baba anatengewa kwanza na Si kuwa ale ashibe na wengine ndo wale.

Na kama baba hayupo chakula chake kinatengwa na akija kinapashwa anatengewa.

Ni heshima zaidi ya kumnyenyekea na kutambua nafasii yake kwenye familia kama mtafutaji na mlinzi au muangalizi wa familia.

Sasa ukute familia baba hela yake haionekani nyumbani, chumbani nako majukumu yake hayaeleweki, halafu unategemea atengewe chakula, ukikutana na mwanamke bandidu ndo wanafikia huko kwa kumuachia akombe hotiponti.

Merry Christmas and Happy New Year baba yeyoooo.

Takwinyaaaa.
Nakusalimu K matata...nikajua upo Corona festival...
 
Dah.... Hadi nimedinda yaaani kwa kusoma post yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusalimu K matata...nikajua upo Corona festival...

Laigunian unanitenga sana.....

Naona hata aibu kuuliza hiyo Corona Festival iko wapi na nini kinaendelea huko....

Out of Trace...
 
Kuna familia moja naifahamu ina mke, mume, mtoto mmoja, mdogo wa mke wa kike, wa kiume, binamu wa mke beki tatu, mtoto wa dada wa mke na pia kuna ndugu wawili wa mume.

Huyu mume ana mchepuko. Nimenotisi kule kwa mchepuko jamaa anakula vizuri mno maana mchepuko uko peke yake.

Mimi sio mmbea ilitokea tu nikajua. Nilimuuliza mchepuko kwanini unatembea na mume wa mtu tena unaemjua? Akaniambia jamaa anampenda mno akimuacha atakufa njaa.

Mimi sielewi ila ndo hivo mlio na familia ndefu mjipange chakula cha baba mtenge kwa special hot pot mtaachwa.

Inaelekea jamaa home kwake hali vizuri maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe lazima msukuma na Mawazo ya kimla ya Kijinga; Hivi chakula kikipikwa unashindwa nini kukifuata pumbavu?
 
Baba lazma apewe special treatment kuna raha yake bana! Sio mnaleta ufala halafu watu wakinaswa nje huko mnalalamika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom