Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #21
Miss chaga kapotelea wapi jamaniMleta uzi ni miss wa ukweli ndugu yake miss chagga
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa jinsi ulivowataja hao ndugu...wewe ni m-mbeya kiwango cha SGR
Aiseeee wewe acha tu. ID mpya mpya tu humu mpaka nafkiria nami sijui nije na ID mpyaaaa?????
Neno kubwa sana aisee!Unaoa au kuolewa ndio kwanza mnaanza maisha eti unakaribisha ndugu kuishi nao ujinga mtupu. Afrika umaskini mwingine tunaukaribisha wenyewe
Japo sitazungumzia mcheps ama kiwango cha umbea.Kuna familia moja naifahamu ina mke, mume, mtoto mmoja, mdogo wa mke wa kike, wa kiume, binamu wa mke beki tatu, mtoto wa dada wa mke na pia kuna ndugu wawili wa mume.
Huyu mume ana mchepuko. Nimenotisi kule kwa mchepuko jamaa anakula vizuri mno maana mchepuko uko peke yake.
Mimi sio mmbea ilitokea tu nikajua. Nilimuuliza mchepuko kwanini unatembea na mume wa mtu tena unaemjua? Akaniambia jamaa anampenda mno akimuacha atakufa njaa.
Mimi sielewi ila ndo hivo mlio na familia ndefu mjipange chakula cha baba mtenge kwa special hot pot mtaachwa.
Inaelekea jamaa home kwake hali vizuri maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ubinafsi....Ila inatakiwa chakula kikiiva tu hata kabla watoto hawajala chakula cha baba kitengwe pembeni tena sio baba tu mtu yeyote anayetafuta kula kwa ajili ya familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli aisee! Ila hata kisipotengwa pembeni ila baba apate chakula cha kushiba. Pia wanawake wengi huwasahau waume zao kwa hilo.Kuna familia moja naifahamu ina mke, mume, mtoto mmoja, mdogo wa mke wa kike, wa kiume, binamu wa mke beki tatu, mtoto wa dada wa mke na pia kuna ndugu wawili wa mume.
Huyu mume ana mchepuko. Nimenotisi kule kwa mchepuko jamaa anakula vizuri mno maana mchepuko uko peke yake.
Mimi sio mmbea ilitokea tu nikajua. Nilimuuliza mchepuko kwanini unatembea na mume wa mtu tena unaemjua? Akaniambia jamaa anampenda mno akimuacha atakufa njaa.
Mimi sielewi ila ndo hivo mlio na familia ndefu mjipange chakula cha baba mtenge kwa special hot pot mtaachwa.
Inaelekea jamaa home kwake hali vizuri maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ubinafsi....
Leteni chakula mezani tule wote...tusiposhiba inamaana kuna shida mahali mtafute cha kutosha.
Kuna familia moja naifahamu ina mke, mume, mtoto mmoja, mdogo wa mke wa kike, wa kiume, binamu wa mke beki tatu, mtoto wa dada wa mke na pia kuna ndugu wawili wa mume.

Hakuna ubinafsi na tuseme chakula kimepikwa kutokana na idadi ya watu, sasa ukisema kiletwe mezani watu wajipakulie itakuwaje? Na baba anachelewa kurudi nyumbani , tuseme anarudi saa 4 usiku, kwa hiyo wengine nao wasubiri hadi saa 4 usiku?Huo ubinafsi....
Leteni chakula mezani tule wote...tusiposhiba inamaana kuna shida mahali mtafute cha kutosha.
Kinachoshindakana kula pamoja unakuta baba anachelewa kurudiMambo ya zamani mno hayo sema kama mwanamke hajiongezi kupika chakula kile Baba anapenda imekula kwake. Ila inapendeza familia Kula chakula Kwa pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala co hcho kamanishaUnamaanisha baba apikiwe kuku..kitengwe pembeni alafu wengine wale ugali matembele?....Mtoa mada Unaonekana Ni RuBbish kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app