Ramea JF-Expert Member Mar 19, 2015 2,146 4,071 Apr 13, 2016 #2 Umenikumbusha mbali, huwa yanapikwa pamoja na juu yake hufunikwa kwa majan ya maboga kisha ufuniko wa chuma hufuata.
Umenikumbusha mbali, huwa yanapikwa pamoja na juu yake hufunikwa kwa majan ya maboga kisha ufuniko wa chuma hufuata.
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Apr 13, 2016 #3 Dah hii kwetu tunaita elyungu na ifilombe
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Apr 13, 2016 Thread starter #4 Ramea said: Umenikumbusha mbali, huwa yanapikwa pamoja na juu yake hufunikwa kwa majan ya maboga kisha ufuniko wa chuma hufuata. Click to expand... utakua msambaa wewe
Ramea said: Umenikumbusha mbali, huwa yanapikwa pamoja na juu yake hufunikwa kwa majan ya maboga kisha ufuniko wa chuma hufuata. Click to expand... utakua msambaa wewe
M MBOMBWE Member Nov 4, 2014 61 23 Apr 13, 2016 #5 Kitu cha Maboga na masebele....kukaye kunofu na valongee!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Apr 13, 2016 Thread starter #6 Mgirik said: Dah hii kwetu tunaita elyungu na ifilombe Click to expand... wapi huko mkuu
Mgirik JF-Expert Member Apr 27, 2013 13,208 13,233 Apr 13, 2016 #7 Amavubi said: wapi huko mkuu Click to expand... Huko kusin nyanda za juu
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Apr 13, 2016 Thread starter #8 Mgirik said: Huko kusin nyanda za juu Click to expand... safi sana kuenzi nyanda za juu kusini
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Apr 13, 2016 #9 Ndio maana wazee wetu walizeeka na afya zao sisi tunakomalia BAKHRESA FOOD
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,994 12,767 Apr 13, 2016 #10 Hii nimekula pasaka nilipoenda kumsalimia Bibi, ndio ilikuwa breakfast.