Hahahah! Nilikuwa nacheki mpira si unajua tena sisi ndiyo wadau wa MAN UTD..
Chana bateta wewe utaki kupeka, weka basi na wewe Avatar...lol.. Utapendeza
natafuta avatar la njemba moja niweke hapo. Lol.
Si nilikwambia cjaelewa ile kitu. Unifundishe vizuri bana.
Faza wangu akiona hii post atakasirika kweli, unajua daily anahimiza nitembee na umbrella nispigwe na jua sio.mzembe nakuona unavuja jasho hadi unatuloweshea sever za jeief.
Usijali takufundisha njema la nini bana, weka avatar ya miss Mpwapa...
Faza wangu akiona hii post atakasirika kweli, unajua daily anahimiza nitembee na umbrella nispigwe na jua sio.
Faza wangu akiona hii post atakasirika kweli, unajua daily anahimiza nitembee na umbrella nispigwe na jua sio.
Mkuu Krolo,
naomba ruksa nimtafutie avatar Husny'
kwa ajili yako nitafanya hivyo eeh. Haya smile kiduchu.
swahili yangu sio muzuri, bandiko yako swahili ngumu sanaumesahau, faza wako alisema ukiongea uzibe mdomo ili usiturushie mate.
swahili yangu sio muzuri, bandiko yako swahili ngumu sana
Mkuu Krolo,
naomba ruksa nimtafutie avatar Husny'
Sio kiduchu sana tu, ukiweka ni-PM then takupa zawadi yako
Nimetamani!mimi pia ongea sahili ya bombay. Veve sijui naongea pumba gani.
mimi pia ongea sahili ya bombay. Veve sijui naongea pumba gani.
Nimetamani!
Veve Husny' iko toto zuri sana napenda weka avatar ya mamalini hata pipoli kwisa ona napendeza sana..okey
dhambi?usijaribu!
dhambi?
nimetubumungu hapendi.