Happiness Begins With Facing Life With A Smile And A Wink. - Source; Yegomasika
Mie sipendi mauchokozi yako...ntakusemea kwa nanino!.
Nimeitikia tu thou najua hizo salamu mimi sijajumuishwa.....lol...
hatujambo....hujambo wewe....
Nikupe umbea anti?
Sjambo Preta,
nimekuona mtu kama wewe mitaa ya mnara wa saa ukihamisisha mgomo wa Bajaj...lol..
e hee....sasa yule ndio mie....kesho baskeli.....mpaka kieleweke....
Pole pole mkuu, mtoto wa mwenzio atajinyonga huyo!.Sikupendi siku hizi...
Ewaaa!!! Hapo sawa.... Maana pale ulisalimia watoto wazuri tu... lol
Pole pole mkuu, mtoto wa mwenzio atajinyonga huyo!.
sasa sweetie!
Nimekuja my love!
Afu shuka la leo zuri!
Na gauni laini yani....
Aah acha kunibania.. My
Mmm! Af wamoto kweli..
Sweetie wangu.. AD