DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 302
hakuna kulala.... Hata kama hujala.....
Mambo DASA?
Shwanga Husniyo!!! AshaDii Jamani si alale, Mi namuonea huruma.
hakuna kulala.... Hata kama hujala.....
Mambo DASA?
hahahahaha! Network za mpwapwa zinasumbua. Ngoja nivute subira. Akija hapa nitakuonesha. Lol.
Naona mmoja kisha kuja hapo anadai ni yeye (ChiefmTz)
HAKI HAITAFUTWI UKIWA UMELALA KITANDANI...................source: DASA
Shwanga Husniyo!!! AshaDii Jamani si alale, Mi namuonea huruma.
tuelezee bana....ili akija tujue ndio huyo.....
ooh! Ngoja niweke vocha. Halafu kuna mtu namtafta humu sijamuona karibia wiki 2.[/QU Ni mimi nini? Najihic ati. Lol
hahahaha! Mmh, sio wewe jamani.
tuelezee bana....ili akija tujue ndio huyo.....
sio yeye jamani. Natamani nimfate. Dah!
Yethuuu na Maria!!!
atalalaje asubuhi?
Hebu mletee hesabu za log acalculate.
anti we acha tu. Ukinikuta kwenye tawi la mchicha naning'inia ndio utaamini.Niece yaani unanirusha roho auntie?? lol
Humpendi mwenzio!!!, Atauona usiku mbaya!!, ndio mana namwambia alale!!.
hehehe! Miss yaeda mambo? Mwenzio ndio hivyo tena. Kusema nashindwa.
we mbona hulali? Chakula hakijaiva?
Mambo poa miss Mpwapwa.....he!....ndio yamekuwa hayo tena.....?...sasa itakuwaje...?
Kimeungua, wameanza kupika upya!!!
Preta mie nina wasi hata kama kweli tutaambiwa hebu mcheki hapa chini....lol
Yamekua hayo tena?? lol... Hayo si maneno yako??
nisaidie bana. Show love kwa rafiki yako. Lol.
nikutumie makande upoze nja?