Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
ninong'oneze basi...ili msaada uhusike....
sogeza sikio lako kwenye spika.
ninong'oneze basi...ili msaada uhusike....
Humpendi mwenzio!!!, Atauona usiku mbaya!!, ndio mana namwambia alale!!.
anti we acha tu. Ukinikuta kwenye tawi la mchicha naning'inia ndio utaamini.
we mbona hulali? Chakula hakijaiva?
Kimeungua, wameanza kupika upya!!!
nikutumie makande upoze nja?
ninong'oneze basi...ili msaada uhusike....
Dah! umejuaje zilizoungua ni kande!!
Mie mbona nakwamini my not so obedient niece....lol
sogeza sikio lako kwenye spika.
DASA Nimekushtukia... Nia yako nilale ili ubaki na my beautiful niece Husny?? Na Siondoki!! lol
saayu.....garmila.....?
Kila nikisoma posts naona giza wote mnajuana sasa mimi mgeni tapata mtu hata wa kunijibu kapost kangu kweli?
Naona mnanipita tu.. Sijui niende Jukwaa lipi naweza kupata wa kupiga nae story
Kila nikisoma posts naona giza wote mnajuana sasa mimi mgeni tapata mtu hata wa kunijibu kapost kangu kweli?
Kwaherini wandugu wana bodi, naona sitakiwi mnapiga story zenu tu,
ngoja nisubiri zangu mechi za UEFA
AshaDii nakupendaga wewe!!
Unajua kuotea.
Naona mnanipita tu.. Sijui niende Jukwaa lipi naweza kupata wa kupiga nae story
Kwaherini wandugu wana bodi, naona sitakiwi mnapiga story zenu tu,
ngoja nisubiri zangu mechi za UEFA