CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

Agree to disagree in agreeable manner!!

leo naona unacopy na kupaste tu signature za wenzio eeh?? Asante kwa kutoichakachua, alafu ngeleja kaniudhi kweli, ile naanza tu kula lile pini la basta rhymes ye akazima switch jamani!!!
 
hahahahaaaaa..........anampenda mumewe na kipigo chake!!! dah....!!! mtu mzima kucharazwa , tena na mkanda kabisa?? aisee kuna watu wana miili!!!
Hapa mimi itabidi mnisamehe bure, unajua ile pande ya kwetu kumcharaza my wife wako ni inshara ya upendo!.
 
hahahaha..... Ritz una mambo weyee.....lol... Mpaka hapa naona walo karibu wamesikia minong'ono yetu.....lol

Mimi hapa nimewasikia, tena mngepita kule maeneo ya amana kwa wamasai halafu wawasikie, mngetundikwa mboko kabisa leo!! Lol!
 
kweli adii umechoka, kweli kweli, mweeeeeeeeh!
 
heheeh hapa kweli tunajiachia, ma stress yote kwishnei, hata kibuti cha husninyo hakinisumbui tena
Ubarikiwe Ashadii (source: Miss Judith ambae tangu aolewe haonekani, imekula kwetu)

mmmmmh! Unachakachua hadi via mobile tunashindwa kusoma. Muone vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom