CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

Kamanda bana! si nilikuacha tip top unapeleka mzinga
Hahaha! huko tiptop ndio wapi tena ? niko nyumbani na bukta langu muda mrefu na wife kadai anamalizia online kabla ya kuni-join nashangaa kachelewa sana kumbe swahiba unambugudhi ujue uporoto hapendi yakhe.
 
Nakulindia bana, hapa chatu dume alikuwa anapiga misere tu lakini nikamchimba bonge la mkwala. kaingia mitini.
Husni akichemsha tu nakushtua, nimejitolea kukulindia swahiba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…