Mh simu yako inajitahidi sana,muda wote huo! anyway inabidi kuiset simu isiwe inafanya autosync ya data. Hiyo itazuia baadhi ya apps ambazo zinatumia data kufanya kazi muda wote,zaidi zitafanya kazi pale wewe utakapotaka kuitumia.
In auto-sync mode hata ukiweka simu pembeni utakuta charge imeisha sana. Kama wengine walivyosema,disable data kama huitumii au weka 2G. Kwa simu za Xperia, data huwa disabled kama hujaigusa simu kwa dk10 au zaidi, sijui kama ipo kwenye Samsung pia.