Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,050
- 2,897
Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
Huku Kasumulu Malawi unatuma mkuu hiyo chajiHabari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
View attachment 3568914
Galama zako mkuuHuku Kasumulu Malawi unatuma mkuu hiyo chaji
Leta 13000 mkuuHaupunguzi mkuu
Hiyo chaji unaiuzaje sasa? Toka lini chaji inauzwa kwanza unaiuza kwenye nini?Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
View attachment 3568914
Kumbe ambao si Wafuga Midevu na Majini wanaitwa wapolipoli?wapoli poli wapo tele humu wa kutoka NAMANYERE sumbawanga ngoja waje
Echolima1
Castle_Lite
Best_Carmine
hamis77
Setfree
Chizi Maarifa
loose Nut
Chivundu
Wabongo kwa sasa watangazie biashara ya pini ndiyo utapata positive answers.Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
View attachment 3568914
simu ipo wapi 😂Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
View attachment 3568914
Ndo ninayotumia hiisimu ipo wapi 😂
Sasa ukiuza chaja itakuaje?Ndo ninayotumia hii
Shida tu mkuu, Nina chaji nyingine tofauti na hiyoSasa ukiuza chaja itakuaje?
😂😂😂 ameshavurugwa ameona isiwe tabu abaki na kimoja,simu atachaji kwa jirani😂😂Sasa ukiuza chaja itakuaje?
Kwanini unauza kiongozi?Habari wakuu nauza chaji ya Infinix Type C bei 15000 maelewano yapo ndo mpya inachaji vizuri karibuni wakuu
View attachment 3568914