Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,093
- 22,806
Nyie........nahitaji chaja original ya "acer aspire 5720z".........kwa ambaye anabiashara mkononi nijibu hapa nitarudi baadae........madali acheni habari zenu.....maana kwa vya juu hamjambo.....
Na pia kwa ambaye anajua namna ya kupata full motherboard ya TOSHIBA TECRA R700 ambayo ipo functional ambayo inafaa kufanyia replacement pia ongea hapa narudi tuanze biashara.
Na pia kwa ambaye anajua namna ya kupata full motherboard ya TOSHIBA TECRA R700 ambayo ipo functional ambayo inafaa kufanyia replacement pia ongea hapa narudi tuanze biashara.